The Bleiz JF-Expert Member Joined Jan 7, 2012 Posts 5,137 Reaction score 13,825 Mar 8, 2021 #1 Hawa sidhani kama walikuwa chawa enzi za ujana wao wala kuwa mashabiki ushuzi wa wanasiasa. Vijana tuna la kujifunza japo kwa muonekano wa nje tuu.
Hawa sidhani kama walikuwa chawa enzi za ujana wao wala kuwa mashabiki ushuzi wa wanasiasa. Vijana tuna la kujifunza japo kwa muonekano wa nje tuu.
sanalii JF-Expert Member Joined Oct 1, 2018 Posts 1,743 Reaction score 6,240 Mar 8, 2021 #2 Mwanaume hazeeki anafulia tu na kuchakaa kwa shida, that is real concept of age is just a number,
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 178,458 Reaction score 196,174 Mar 8, 2021 #3 Wazee wa connection hao...
MWEMBEKIUNO JF-Expert Member Joined Sep 6, 2016 Posts 1,877 Reaction score 2,531 Mar 8, 2021 #4 Hao ni wazee ambao miili yao imezoea mazoezi na hawana shida ya chakula Sent using Jamii Forums mobile app
Hao ni wazee ambao miili yao imezoea mazoezi na hawana shida ya chakula Sent using Jamii Forums mobile app
DeepPond JF-Expert Member Joined Nov 18, 2017 Posts 43,311 Reaction score 109,537 Mar 9, 2021 #5 Pesa sabuni ya mwili na roho
Kichwa Kichafu JF-Expert Member Joined Apr 13, 2017 Posts 44,989 Reaction score 189,583 Mar 9, 2021 #6 Sawa sawa mkuu.
King Kong III Platinum Member Joined Oct 15, 2010 Posts 63,952 Reaction score 98,062 Mar 9, 2021 #7 Misheni Town ,hata muhuri wa ikulu unapata hapo.
Penologist JF-Expert Member Joined Feb 25, 2019 Posts 793 Reaction score 1,932 Mar 9, 2021 #8 Kumbe hawa vijana wa masaki wanaofuga midevu kama wajukuu wa osama, wame copy kwa wazee.