Bra-joe
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,861
- 1,485
Mzee mmoja kutoka Tarime alikuwa ktk matembezi mjini Dar, ghafla alikutana na rafiki yake wa kitambo nae kutoka Tarime akiwa anaongozana na kijana wake, baada ya kusalimiana mzee wa Dar akamtambulisha kijana wake kwa rafiki yake "huyu ni kijana wangu, anaitwa Matuku, anafanya kazi Konoike" yule rafiki yake akauliza kwa hamaki "kwani Konoike ni JESHI gani?"