Wazee wawili kutoka Tarime wakutana Dar. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wazee wawili kutoka Tarime wakutana Dar.

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Bra-joe, Aug 2, 2012.

 1. Bra-joe

  Bra-joe JF-Expert Member

  #1
  Aug 2, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,559
  Likes Received: 510
  Trophy Points: 280
  Mzee mmoja kutoka Tarime alikuwa ktk matembezi mjini Dar, ghafla alikutana na rafiki yake wa kitambo nae kutoka Tarime akiwa anaongozana na kijana wake, baada ya kusalimiana mzee wa Dar akamtambulisha kijana wake kwa rafiki yake "huyu ni kijana wangu, anaitwa Matuku, anafanya kazi Konoike" yule rafiki yake akauliza kwa hamaki "kwani Konoike ni JESHI gani?"
   
 2. Excel

  Excel JF-Expert Member

  #2
  Aug 4, 2012
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 18,888
  Likes Received: 563
  Trophy Points: 280
  aaah! aaah! aisee!
   
 3. KML

  KML JF-Expert Member

  #3
  Aug 4, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 863
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  umetisha mkuuu.......
   
 4. f

  filonos JF-Expert Member

  #4
  Aug 4, 2012
  Joined: Oct 13, 2011
  Messages: 651
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  hiii hilo ni GESI JIPYA HILO
   
 5. b

  bigambo Senior Member

  #5
  Aug 4, 2012
  Joined: Jul 30, 2007
  Messages: 106
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Tehe....tehhh.... So kila mkurya mfanyakazi ni mwanajeshi eeh.... Si kweli
   
 6. Bra-joe

  Bra-joe JF-Expert Member

  #6
  Aug 5, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,559
  Likes Received: 510
  Trophy Points: 280
  zamani wakurya wengi walikuwa wanadhani kazi ni jeshi tu,
   
 7. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #7
  Aug 5, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 7,155
  Likes Received: 1,249
  Trophy Points: 280
  sio zamani tu hadi leo wanaamini, si unaona jamaa walivyokaa kusharishari kama wanajeshi
   
 8. MARCKO

  MARCKO JF-Expert Member

  #8
  Aug 5, 2012
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 2,265
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Jf d funny
   
Loading...