Wazee watazuia mafuriko Lowassa na kuliokoa taifa?

Wazee watazuia mafuriko Lowassa na kuliokoa taifa?

kwa taarifa hao mihemko hawana cha kupoteza, hawana reference yeyote! wewe unae ijua the Hague wenzio hata hawaijui!
That in our approach to a problem we should start from objective facts, not from abstract definitions, and that we should delivered our guiding principles, policies and measures from an analysis of this facts!

Uzi ni wa Kiswahili, sasa wewe unaleta Kiingereza tena chenye "mazongezonge"..!
 
Ccm ndio imechoka zaidi ya LOWASA
Sasa watu anataka Mabadiliko
Hata kama ungegombea wewe ungechaguliwa ikiwa tu kukuchagua wewe kutamaanisha kuiondoa CCM madarakani
 
Kamanda, mbona tunazunguka kwenye suala moja hilohilo na huji na jibu niridhike! Nimehoji hawa waliotoka CCM na kukumbatiwa na UKAWA walifanya nini wakiwa ndani ya Serikali ya CCM ambayo kwa kauli yako "haiwezi kujivua lawama kwa matatizo ya kujitakia yaliyopo nchini hivi sasa". Yawezekana sauti yao ya mabadiliko haikusikilizwa, kama ni hivyo kweli, kwa nini hawakuondoka mapema badala yake waliomba tena uongozi ndani ya chama hicohicho, na matokeo ni kukatwa. Kama unaamini ni wanamabadiliko na walitaka kufanya hayo mabadiliko wakiwa ndani ya CCM, amini pia waliobaki humo wanaweza kufanya mabadiliko. Mabadiliko ya kwanza ni kuwakata wasio waadilifu, yaani mamluki wanaonekana lulu UKAWA kwa sasa.
tatizo naloliona ni kwa chama/mfumo. kama chama kitabadilika bas ni rahisi kubadilisha serikali, laa, basi ni wazi tusitegemee kitu. na kama pia chama kiko makini kwa nini hakikumvua uanachama kabla mapeema?
huyo aliyekatwa huko alipoenda yeye si mwenyekit wa chama na hatakuwa mwenyekiti,pia utaratibu wa huko alipoenda ni tofauti na alipotoka.
 
Back
Top Bottom