Wazee wamshangaa zito bungeni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wazee wamshangaa zito bungeni

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Nduka Original, Apr 18, 2012.

 1. Nduka Original

  Nduka Original JF-Expert Member

  #1
  Apr 18, 2012
  Joined: Aug 3, 2011
  Messages: 753
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Leo Zitto Kabwe alipokuwa akisoma hotuba yake ya kamati ya mashirika ya UMMA badala ya kuprint makabrasha luluki yeye alikwenda na IPAD yake na kuanza kusoma huku akibofya. Najaribu kufikiria ni kiasi mtu kama WASIRA, MREMA, NA WAZEE WENGINE WALIVYOKUWA WANAMKODOLEA ZITO JICHO wakiwa hawaelewi na kakitu gani kale. tehe tehe tehe
   
 2. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #2
  Apr 18, 2012
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,456
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  hao wazee nao wanakaribia kufa naona, yan toka tusikie zitto kaingia na kidude chs ajabu wao bado wanashangaa tu mpaka leo!
   
 3. Mkereketwa_Huyu

  Mkereketwa_Huyu JF-Expert Member

  #3
  Apr 18, 2012
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 5,124
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  Jamani wapi kuna wachawi wa kutisha Tanzania? Nataka niroge ili nami niwe mbunge. Binafsi, sipendi fanya kazi, napenda machangu na kulala tu na bunge litanifaa kwa mahitaji yangu. Tafadhali nipeni data nataka niroge mapema kama wabunge wa bongo.
   
Loading...