NostradamusEstrademe
JF-Expert Member
- Jul 1, 2017
- 3,840
- 5,096
Kama kichwa cha habari kilivo hapo mnaweza kumtambua nani na nani mimi nimemtambua Nyerere na Mzee Mshumi Kyate.
Huyu mzee Kyate alikuwa mvuvi ndio alikuwa ana jukumu la kulisha familia ya Nyerere mboga kipindi alivyoamua kuacha kazi shule ya Pugu.
Kuna siku moja alikutana na Nyerere pale Fire akiwa ametoka sokoni akampa mboga na shillingi 200.Wakati ule shillingi 200 unaweza kujenga nyumba ya udongo ya vyumba vitano pale Kariakoo