Wazee wa Utemi wa Wanyanyembe Tabora Wamkataa Lowassa

Wazee wa Utemi wa Wanyanyembe Tabora Wamkataa Lowassa

ibange

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2010
Posts
1,543
Reaction score
553
Katika gazeti la Raia Mwema uk 17 kuna press release ambapo wakuu wa utemi wa Wanyanyembe Tabora wamelaani kitendo batili cha kisanii cha kumfanyia tambiko Mh Lowassa bila ridhaa ya ukoo wa utemi wa Unyanyembe. Mahali paliponichekesha kwenye hiyo press release ni hapa:

" Haiingii akilini, jiwe la msingi la kumbukumbu ya Mtemi shujaa Issike Mwanakiyungi, heshima hiyo apewe Mh Lowassa wakati Mtemi Issike aliishi na kujiua kwa kukataa ufisadi na udhalimu wa Wakoloni wa Kijerumani".

Vita hiyo ya Lowassa na Samweli Sitta!
 
Huyu waziri aliyekimbizwa kitini kwa ufisadi...zilikataliwa pesa zake kuweka jiwe la msingi pale Gongoni,karibu na kwa Shashi kwenye maduka mapya (tabora)...kwa kigezo kuwa ni kutiana gundu la tabia mbaya za kifisadi-(unreported)
 
Huyu jamaa Ana uchu wa urais kule dar ilala bungoni siku ya ufunguzi masjid takwa mtandao wa lowasa walihodhi ile. Shughuli wakataka lowasa aje afungue waumini wakaja juu akaingia mitini hakuja Huyu wanamuandaa tuwe makini Sana na Nyerere alishamkataa dawa ni muungano wa chadema na cuf anapotea lowasa
 
Watemi wameanza kutoka usingizini, walikuwa wanadhalilisha vyeo vya himaya zao kwa kuzigawa bila kuzingatia vigezo. Ilikuwa kila kiongozi au mzungu mgeni anatunukiwa heshima hiyo bila kutazama vigezo na sifa ya mtunukiwa. Naamini na wengine watafuata nyayo.
 
Phd za jadi zimetoka hadi kwa wale wanaolindwa na majini!
 
Wamtinue tu, mwizi tu huyo hana jipya!
 
Lowasa na Sita wote Wanyanyembe.

lowasa naye mnyanyembe? au mie ndo sijui wanyanyembe ni watu wa wap? duh tanzania kwa vitimbi, yangu masikio kwn 2tayaskia mengi

najiandaa na nitapinga lowasa kuwa muhaya? wahaya tnapinga na kuyachukia mafisadi daima dumu
 
Hahahaa, hadi Shaggy akapewa UTEMI wa Wanyamwezi wa Kaskazini, yaani Wasukuma.

Sisi Wanyamwezi wa Kusini yaani Wadakama, Mtemi wetu ni Lowassa, M-Masaai, damn!!!!

DSC_9678.jpg
 
Huyu jamaa Ana uchu wa urais kule dar ilala bungoni siku ya ufunguzi masjid takwa mtandao wa lowasa walihodhi ile. Shughuli wakataka lowasa aje afungue waumini wakaja juu akaingia mitini hakuja Huyu wanamuandaa tuwe makini Sana na Nyerere alishamkataa dawa ni muungano wa chadema na cuf anapotea lowasa

Magamba wenyewe wanajua wakimweka agombee imekula kwao
 
Hapo kuna watu walivuta michuzi ya kutosha kufanikisha hilo. Unacheza na ufisadi wewe?
 
Makanisani na nyie muamke na msikimbilie tu mihela anayotoa angalieni ni waTz wangapi alowadhulumu na kuzileta kanisani na je Mungu anapenda?
 
Hahahaa, hadi Shaggy akapewa UTEMI wa Wanyamwezi wa Kaskazini, yaani Wasukuma.

Sisi Wanyamwezi wa Kusini yaani Wadakama, Mtemi wetu ni Lowassa, M-Masaai, damn!!!!

DSC_9678.jpg
Huyo nani?
Halafu kakaa kihasara hasara!
Kumweka mwalabu kuwa Mtemi ni kuwadhalilisha wahenga wetu!

Mizimu yao itawalaani!
 
Katika gazeti la Raia Mwema uk 17 kuna press release ambapo wakuu wa utemi wa Wanyanyembe Tabora wamelaani kitendo batili cha kisanii cha kumfanyia tambiko Mh Lowassa bila ridhaa ya ukoo wa utemi wa Unyanyembe. Mahali paliponichekesha kwenye hiyo press release ni hapa:

" Haiingii akilini, jiwe la msingi la kumbukumbu ya Mtemi shujaa Issike Mwanakiyungi, heshima hiyo apewe Mh Lowassa wakati Mtemi Issike aliishi na kujiua kwa kukataa ufisadi na udhalimu wa Wakoloni wa Kijerumani".

Vita hiyo ya Lowassa na Samweli Sitta!

Huyu jamaa huwa anaenda kanisani na kuongea neon la mungu kwa ufasaha mkubwa, nimeshangaa sana kusikia tena anafanyiwa tambiko
 
Back
Top Bottom