Wazee wa Utemi wa Wanyanyembe Tabora Wamkataa Lowassa

Wazee wa Utemi wa Wanyanyembe Tabora Wamkataa Lowassa

Nimeongea na wazee wa Tabora . wanashangaa nani kaandika kwenye hilo gazeti. Wengine wameenda mbali zaidi na kumtuhumu 6 kwamba kazidiwa ujanja. Miaka yote amekuwa serikalini hajwahi fikiriwa kitu kama hicho, lakini wansema ni kwa sababu muda wote amepotezea MUJINI na hakuna alilowahi kufanya Tabora achilia mbali Urambo labda kwa kujenga OFISI YA SPIKA amabayo hawana faida nayo kwasababu 6 si Spika. Lowasa jembe na atazidi kuwatoa meno
 
Katika gazeti la Raia Mwema uk 17 kuna press release ambapo wakuu wa utemi wa Wanyanyembe Tabora wamelaani kitendo batili cha kisanii cha kumfanyia tambiko Mh Lowassa bila ridhaa ya ukoo wa utemi wa Unyanyembe. Mahali paliponichekesha kwenye hiyo press release ni hapa:

" Haiingii akilini, jiwe la msingi la kumbukumbu ya Mtemi shujaa Issike Mwanakiyungi, heshima hiyo apewe Mh Lowassa wakati Mtemi Issike aliishi na kujiua kwa kukataa ufisadi na udhalimu wa Wakoloni wa Kijerumani".

Vita hiyo ya Lowassa na Samweli Sitta!

Aliyeanzisha sakata hili ni Mayage Mayage wa Raia Mwema wiki mbili zilizopita ,huyu alifukuzwa Habari Corp. na Rostsm naona anatafuta njia ya kulipiza
 
Aliyeanzisha sakata hili ni Mayage Mayage wa Raia Mwema wiki mbili zilizopita ,huyu alifukuzwa Habari Corp. na Rostsm naona anatafuta njia ya kulipiza

mkuu umeniwahi,nilitak kuya andk haya hya uliyo yasema,hizo ni chuki za waz waz kwa lowassa,hyu mwandish nani asiyejuw kuw anatumik na sitta,
 
Huyu jamaa Ana uchu wa urais kule dar ilala bungoni siku ya ufunguzi masjid takwa mtandao wa lowasa walihodhi ile. Shughuli wakataka lowasa aje afungue waumini wakaja juu akaingia mitini hakuja Huyu wanamuandaa tuwe makini Sana na Nyerere alishamkataa dawa ni muungano wa chadema na cuf anapotea lowasa

asante kamanda kwa kumpa za uso lowasa .
 
kuna watu watapooza baada ya lowasa kupotea kwenye siasa 2015 , tusubiri kuona .
 
Siyo Mwaarabu. Si nimeandika SHAGGY? Mr. It wasn't me.... au Orville Burrell. Pia tunasema Mwa-arabu/Mwarabu na siyo Mwalabu.

shaggy-military-red-carpet-2012-photo-split.jpg

Huyo nani?
Halafu kakaa kihasara hasara!
Kumweka mwalabu kuwa Mtemi ni kuwadhalilisha wahenga wetu!

Mizimu yao itawalaani!
 
Hilo nalo neno. Anyway, hata mie Baba angelikuwa hai, wangenitawaza Mtemi wa Wahehe. Chirs Lukosi angeniosha miguu.

mwailemale.JPG

Umesahau na Prince Riziwan naye akasimikwa kama 'nsumba ntale' kule shinyanga. Kazi kweli kweli!
 
Last edited by a moderator:
Magamba mkoa wa Tabora wameutoa kafara halafu bado mnatuletea za kuleta,Sikonge ni bora 6 kuliko huyu fisadi kwani zimwi likujualo..........................
 
...

...ha ha ha ha!!!!

....magamba MWAKA HUU...watajisimika mpaka kwenye VISIKI!!!!
 
Magamba mkoa wa Tabora wameutoa kafara halafu bado mnatuletea za kuleta,Sikonge ni bora 6 kuliko huyu fisadi kwani zimwi likujualo..........................
kweli kuna mazimwi duniani lakini
 
Hahahaa, hadi Shaggy akapewa UTEMI wa Wanyamwezi wa Kaskazini, yaani Wasukuma.

Sisi Wanyamwezi wa Kusini yaani Wadakama, Mtemi wetu ni Lowassa, M-Masaai, damn!!!!

DSC_9678.jpg

Nimefurahi kwa kuisema hii historia. Wengi hawafahamu juu ya Dakama na Sukuma!!

Kabila ni moja tu, wanyamwezi. Sasa hilo la wasukuma limekuja kwa kutoeleweka kwa watu.

Laiti tungeweza kuelimisha raia ingependeza.

BTW mimi ni wa Sukuma!!!

Halafu, unafahamu tulitokea wapi kabla ya kuja Bongoland? Wengine wanasema Senegal; wengine Sierra Leone! Unajua sisi ndio wa pili kuingia baada ya wangoni kutoka Sauzi?
 
Umesahau na Prince Riziwan naye akasimikwa kama 'nsumba ntale' kule shinyanga. Kazi kweli kweli!

Nsumba ntale?jamani hivi haya mambo tunavyoendelea kuyaendekeza tunaharibu kabisa tamaduni zetu,hili ni suala la kimila linaloambata na kanuni za kabila husika pia huwa lina miiko na matambiko yake,je huyu Rizmoja anayajua matambiko ya kisukuma?au huyu mamvi fisadi papa anayajua matambiko ya kinyamwezi?lkn pia matambiko,kanuni na ukamilishaji wa jambo hilo huendana kwa karibu sana na koo,kikzazi na mwisho ili jambo hilo liwe na ukamilifu wake huea kuna kuenzi mababu wa kabila na ukoo husika,je lowasa na haya huyo dogo Riziwani wana vinasaba na koo na vizazi vya makabila tajwa?hayo yalifanyika kisanii na kuendeleza dharau zilizofanyea na wazungu walioua mila na tamaduni za kiafrika na hasa Tanzania ya leo.Ni upuuzi na ujinga kusikia eti Lowasa au Rizione ni mtemi au Nsumba ntale wa makabila ya wanyamwezi na wasukuma.
 
Kinachonisikitisha ni namna mtu anayewaibia masikini anapokwenda madhabahuni na kuwapa viongozi wa dini yale aliyowaibia masikini, na wao wanayapokea kwa mikono miwili na kumuombea kwa "mungu" aendelee kufanikiwa katika wizi wake.
 
Jamaa anajosafisha huyu anataka kuwa rais nin..kila siku anatoa hela za rafiki zake anasema..hao rafiki zake no kina nani??
 
waheshimiwa hivi mnajua kuwa lowassa ni laigwanani mkuuu wa masai wote wa east africa??,, taito ambayo aliipata kwa mizengwe tuu kama hii ya unyanyembe??? kumbukeni jinsi ole sendeka alivolalamika sana kuhusu rafu alizocheza lowassa kuwa laigwanani.. leo tena anatamani
kuwa chifu wa wanyamwezi....????? nashsngaaa huyu jamaa jinsi alivyo na uchu wa madaraka..
 
waheshimiwa hivi mnajua kuwa lowassa ni laigwanani mkuuu wa masai wote wa east africa??,, taito ambayo aliipata kwa mizengwe tuu kama hii ya unyanyembe??? kumbukeni jinsi ole sendeka alivolalamika sana kuhusu rafu alizocheza lowassa kuwa laigwanani.. leo tena anatamani
kuwa chifu wa wanyamwezi....????? nashsngaaa huyu jamaa jinsi alivyo na uchu wa madaraka..
 
Waziri mkuu mstaafishwa Edward Lowassa anajitahidi kumwaga fedha kama njugu akitafuta kuingia Ikulu. Hivi hizo fedha anazitoa wapi? Namradi gani unaozaa faida kiasi hicho? Kama kunawatu wanampiga tafu, je anategemea kuwapa malipo yapi? JAMANI LOWASSA NI KAMA UKIMWI UKIKUINGIA HAUTOKI, UNAMWINGIA MTU KWA UTAMU KWELI LAKINI NGOMA NI PALE UNAPOTAKA UKUTOKE. MKIMRUHUSU LOWASSA KUINGIA IKULU NDIO UTAKUWA MWISHO WA TANZANIA TUNAYOIJUA. NANYI WATANZANIA HASA VIONGOZI WA DINI NI NANI ALIYEWALOGA HATA MSIWEZE KUONA HAYA? MNAPOKEA FEDHA HARAMU KUFANYIA HUDUMA ZA KIROHO! MBONA MAKUHANI WALIKATAA FEDHA ALIYOIRUDISHA YUDA BAADA YA KUMSALITI BWANA YESU? KILA ANAYEMUUNGA MKONO LOWASSA KATIKA HARAKATI ZA KUTAFUTA IKULU NA ALAANIWE!
 
Wanyamwezi ni Wabantu na Wabantu walitokea huko Cameroon na Africa ya Kati/Congo.

Haiwezekani kuwa Wangoni walitangulia kufika Tanganyika kwa sababu Wangoni nao ni Wabantu. Ina maana tuliondoka nao huko Magharibi na sisi tulipofika Tanganyika, tukaona inatosha na wenyewe wakaendelea kwenda chini hadi Kusini. Ila wakati wa Mfalme Chaka Zulu, Ngoni au Nguni wengi walikimbia kutoka Kusini na kuanza kupanda juu. Wengine waliishia nchi za jirani na wengine wakaja hadi Songea. Ndiyo maana vita vya Majimaji, Wangoni wa Malawi, Zambia na Msumbiji, walikuja kuwasaidia wenzao wa Tanganyika.

Wengine walianza kupanda juu zaidi hadi wakafika Tabora ila kufika Tabora, wakakutana na Mtemi Mirambo ambaye aliwapa kichapo hadi wakakubali kuacha Vita. Ila Mirambo akafurahia sana ujuzi wao wa kupigana na akawa anawaajiri kama Askari wake wa Kukodiwa na akawaita Walugaluga (jina limekaa kimatusimatusi).

Huko Senegal kuna kundi jingine kabisa la Kabila ambalo hatuna uhusiano nalo. Wengi inaaminika wanatokea Egypt yaani ile Egypt ya ukweli. Na ndiyo maana nchi kama Mali, kuna kabila linaloitwa Dogoni, wanafahamu sana mambo ya Sayari na nyota za ulimwengu huu. Jambo hilo lina uhusiano sana na Pyramid za Egypt na Latin America/Asia. Pia kuna majina ambayo walikuta yameandikwa kwenye hizo Pyramid, hayo Majina yapo West Africa.
Nimefurahi kwa kuisema hii historia. Wengi hawafahamu juu ya Dakama na Sukuma!!

Kabila ni moja tu, wanyamwezi. Sasa hilo la wasukuma limekuja kwa kutoeleweka kwa watu.

Laiti tungeweza kuelimisha raia ingependeza.

BTW mimi ni wa Sukuma!!!

Halafu, unafahamu tulitokea wapi kabla ya kuja Bongoland? Wengine wanasema Senegal; wengine Sierra Leone! Unajua sisi ndio wa pili kuingia baada ya wangoni kutoka Sauzi?
 
Back
Top Bottom