Wazee wa tigo wakimshikaaa!!!

Wazee wa tigo wakimshikaaa!!!

Janga lake hapo.....hahahaaaaaa.....watamtoa mlungula tuuu
 
hapo inatakiwa tuwalaumu polis. kwanini wamruhusu kutembea barabarani?
 
Hiyo haina tofauti na zile helmet za wachina! same sh*t!
 
asee bora na ya huyu jamaa
za kichina hata ukidondosha inapasuka
 
Sio kaivaa2,aa!...

thats is a msg 2tbs that bora kuvaa makopo kuliko hizo uyoga za kichina!
 
Ndo ubunifu wenyewe huu,mzee hapa anakwepa kusumbuliwe barabarani
 
Wengi wa madereva wa bodaboda si ndo wale waliokuwa wakitukaba tukitoka kwenye lager usiku.Usishangae.
 
wengi wa madereva wa bodaboda si ndo wale waliokuwa wakitukaba tukitoka kwenye lager usiku.usishangae.
aseee kweli hata mi walinikaba wakanipora nokia ya tochi.wengi hawana hata leseni
 
Huyu jamaa ana matatizo,Inachekesha na ni hatari!
 
Back
Top Bottom