The story of White Walkers

marcoveratti

JF-Expert Member
Sep 21, 2017
968
1,695
Hapo zamani, kulikuwa na hadithi maarufu katika ulimwengu wa kufikirika wa bala la Westeros, ulimwengu wa series ya "Game of Thrones" iliyo zungumzia Usiku mrefu(the long night) na uwepo wa White walkers.

Kuanzia sehemu ya kwanza mpaka simulizi hii inafika tamati, ime kuwepo habari ya "the long night" (usiku mrefu)
Usiku ambao viumbe wanao ishi upande wa pili wa bala la Westeros wata vamia himaya zote za Westeros na kutaka kuzi miliki,

Upande huo wa kaskazini wa bala la Westeros unatenganishwa na ukuta mrefu na mkubwa wa barafu unao lindwa na watu wanao itwa The NIGHT WATCHER, hawa ni vijana walio zaliwa nje ya ndoa wabo julikana kwa jina la "Bastard son"

Kama alivyo John Snow, ambaye alifahamika kua ni mtoto wa Ned Stark lakini hakua wa ndani yando (japo mwisho wa siku ilikuja kufahamika kua hakua Mtoto wa Ned bali na Tygaryan)

Kaskazini mwa bala la Westeros
Ambapo ni majira ya barini(Winter) mwaka mzima upande ambao una baridi kuliko sehemu yoyote kwenye ulimwengu wa GAME OF THRONES. Huko ndio wanapatika viumber wa ajabu wenye muonekano wa uzombi na wana julikana kwa jina la WHITE WALKERS,

Hadithi hii inajulikana kwa jina la Kiswahili kama "Mtu Mweupe."(White man).

Katika bara la Westeros, White Walkers walikuwa wametengwa na milima ya kaskazini mwa ardhi, kwenye eneo linaloitwa "The Lands of Always Winter" (Ardhi ya Baridi la milele). Kwa muda mrefu, iliaminika kuwa ni Ngano tu iliyopitishwa kutoka kizazi hadi kizazi. Lakini kadiri muda ulivyosonga, hadithi hii ilionekana kuwa na ukweli ndani yake.

White Walkers walikuwa viumbe wa kipekee, wenye ngozi nyeupe na macho meupe yasiyokuwa na hisia yoyote. Walikuwa na uwezo wa kutengeneza jeshi la wafu, wanaoitwa "wafu wanaotembea" (THE WALKING DEAD) au (wafu waliofufuka).

Wafu hawa walikuwa na ngozi nyeupe na macho bluu ya kishetani, na walikuwa wenye nguvu za ajabu na wasio na huruma. Wenye uwezo wa kubadirisha kichanga kua White walker kwa kumbadirisha.

Ifahamike Kuna White walker ambao ni nimadamu walio hai na kunadirishwa kua viumbe waajabu. Pia kuna The walkini dead, hawa ni kama mazombi, ni watu walio kufa waka fufuliwa na White Walker..

Hadithi inasimulia kwamba White Walkers walizaliwa kutokana na nguvu ya kishetani inayoitwa "Night King" (Mfalme wa Usiku) ambae ndio White walker mkuu au Mfalme.

Night King alikuwa kiumbe mwenye nguvu ambaye alidhibiti nguvu za baridi na giza. Alifufua watu waliokufa na kuwafanya jeshi lake, ambao waliamka kama wafu wanaotembea na kumtii bila kuhoji.

Kwa miaka mingi, White Walkers walikuwa wametengwa na kuishi katika ardhi yao ya baridi. Lakini katika wakati mmoja wa hadithi, White Walkers waliamka kutoka usingizini na kuanza kusogea kusini wa Westeros na walileta baridi kali dhoruba, na kifo kila walipopita.

Watu wa Westeros wafalme na viongozi ambao ni Stark, Tygaryans, Lanister, Tarell, Barathion ,Martell na house Greyjo walijaribu kuunda jeshi la kupambana na White Walkers mika zaidi ya 1000 na walifanikiwa kujenga ukutakubwa ambao ndio huu wanao linda Night watcher, wakina John Snow ili kuzuia Usiku mrefu!.

White Walkers ni tishio kwa watu wa Westeros na lengo lao kuu ni kusababisha baridi na kifo kwa kuvuka ukuta wa barafu na kuvamia maeneo ya joto. Ndiyo maana ukuta ulijengwa kuzuia uvamizi wao na kulinda watu wa Westeros kutoka kwa hatari yao.

Miaka zaidi ya 3000 iliyo pita ndani ya Bala la Westeros walikuwepo viumbe walio julikana kama The child of the forest (watoto wa msitu)

Kulingana na hadithi ya "Game of Thrones," Night King (Mfalme wa Usiku) aliumbwa na Utaalamu wa Wakhtioni (watoto wisitu) kwa kutumia uchawi.

Night King alitengenezwa na wa Wakhtioni kwa lengo la kuwasaidia kupambana na wanadamu waliokuwa wakivamia ardhi yao. Walitumia uchawi ili kumgeuza mmoja wa wanadamu walie mteka kuwa Night King.

Mmoja, kiongozi wa Wakhtioni alijitolea na kumtoa kafara binadamu walie mteka kwa uchawi huo, na kumfanya awe Night King lengo ni aje kuwalinda .

Hata hivyo, waligundua kuwa walikuwa wamefanya kosa kubwa. Night King alijitenga na Wakhtioni akaenda kuishi mbali nao na kuwa tishio kubwa kwa wote Wakhtioni na Binadamu pia, akiwa na uwezo wa kuwafufua wafu kuwa White Walkers na kuwaongoza katika vita Night King alidhamiria kua Mfalme wa Westeros.

Kwa hiyo, tunaweza kusema Night King aliumbwa kwa madhumuni ya kuwa kiongozi wa Wakhtioni, lakini baadaye akawa adui wa mwanadamu.
images%20(4).jpg
 
View attachment 2676589
Je wameiandaa series ya peke yake hii story yako?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom