Boeing 747
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 3,517
- 9,437
Yaani hiyo 20k nilimchangia kwa kuniwekea mafuta kwenye gari langu..Mkuu si ungemchangia huyu attendant 20k ili aweze kulipa deni?


Sikuwa na namna.....ila alikuwa mzembe...alifuata risiti umbali kama wa mita 10..jamaa akapata upenyo akasepa...





