Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,412
- 191,565
Swiiiiiiiiii.....swiiiiiii😂😂😂 ilisikika prado moja kdj150Inapiga mluzi ipo pale pale tuu 😀😀😀😀 kuna siku nilishwai kuchapa ligi na hiyo gari ndio nika ziondolewa nyota 😀😀😀 nilikuwa nazikubali sana, ila siku hiyo nikaona hamna kitu hapa