Kifuatacho soon tutaingia namba E....Basi hawa wa Namba E watakuwa wanaona Dunia nzima ni yao....utakutana na Porte namba E jamaa kavaa miwani nyeusi, kakata kishoka, ndevu kaziachia kama brush....yaani atatuona tuliobaki wote ni washamba tu..


...akisimamishwa na askari, ataongea kwa kiburi cha namba E, basi askari hapo anachora vyeti tu.
Hawa wenye D wataanza kujiona kama sisi wenye C tunavyojiona leo hii..
Wenye C tutajiona kama wanavyojiona wenye B leo hii..
Wenye B watajiona kama wanavyojiona wenye namba A leo hii...
Wenye namba A watajiona wamerudishwa enzi za namba TZ 009844
Wale ambao waliwahi kuwa na namba TZ.......watajihisi wanaishi on the other side of the hell....

Ndiyo Tanzania hii imetawaliwa na Plate namba na Low mileage..