Kashaija72
JF-Expert Member
- May 18, 2020
- 2,522
- 5,576
Average ya 500k kwa siku!!.ilikuwa fish ya bahari ya CRDB.. cheee nilisema sina shida na samaki hii ndani ya siku nne inakula chomba ya 2 million, nikaona hii imekubaliana na samaki wengine waje kufirisi mvuvi na mtaji wake.. nikalala mbele nikaacha ndoana na kamba
Anakula Nini samaki Huyu au analala Hyatt kwenye presidential suit?


karibuni tena mjini!