Nilikua natoka Dom - Arusha.
Kufika makuyumi huwa Kuna kizuizi usiku kwajili ya magari makubwa kukaguliwa, gari ndogo zina pita.
Baada ya kizuizi kuna mizani hivyo magari makubwa yakitoka kukaguliwa huingia mizani alafu yanaendelea mbele uelekeo wa Arusha.
Kumbe kuna gari kubwa moja walipita pale kwenye kizuizi kimagumashi Kwa kutoa ela ya kiwi kwasababu gari Lao bovu sanaa.
Ghafla nikalikuta halina taa hata moja, halina reflector na linatoa Moshi mwingi Sana wakati huo chombo imesha kubali gear na upande wapili kuna chombo ingine iko mafuta Sana.
Option niliyo Kua Nazo za haraka ni kuigonga Kwa nyuma Ile gari mbovu, kuigonga Uso Kwa uso Ile gari ilyo Kua inatoka Arusha au kulimwaga porini.
Mind you hapo barabara iko juu porini ni chini na kuna wanyama.
Basi nikalitupa huko porini likapinduka mara mbili lakini kabla nilisha hangaika na brakes gari ikawa ina sota Tu it was too late.
Alipo kuja mkuu wa kituo pale makuyumi aliwasema Sana wale police kwanini alishindwa kuifwata Ile gari kubwa kumbe washa Kula Chao.
Msaada mkubwa ulitoka Kwa maderava wa magari makubwa. Hawa WA gari ndo walikua wanapita shwaaaa shwaaaaaaa shwaaaaa
Ilikua hivyo.
Ni nadra sana kupata msaada ukiwa highway kutoka kwa madereva wa magari madogo , Hawa jamaa wa magari makubwa(malori) huwa na msaada sana aisee....big up kwao.Pole sana, hii ndio sababu sipendi kuendesha usiku. Kingine mtu akiwa anaendesha na mbele kuna lori au gari lolote anachochea tu ili alipite bila kujua kuwa unapoikaribia ile gari na mwendo wako mkubwa mbele inaweza kutokea gari ingine ushindwe kupita utaingia nyuma ya lori au porini.
Ni kweli kabisa watu wa malori ni watu wanajitoa sana kwenye majanga. Sisi wa magari madogo tunajiona tuna haraka zetu bila kujua kilomita chache mbele unaweza kuwa wewe unaehitaji msaada.
Dooh tunateseka kweli watumiaji wa app. Wengine browser huwa hatutumii.
Kila kitu mkuu [emoji41][emoji41]Kupoa kwenye upande gani?
Nami ndiyo nilikuwa najisemea hapa kuwa hao wasela itakuwa hawajakutana na mtu kama wewe au ISO M.CodD. Hizo pombe zote zitayeyuka kichwani.[emoji2][emoji2][emoji2] sema wasela huwa napo wanakutana na vichwa vibovu huwa wanaomba poo wenyewe [emoji1][emoji1][emoji1]
Take it easy hii kitu ina mzuka sana!Tukuyu kesho asubuhi mzigo uko ready!View attachment 2090949
Ni kweli huyo hakuhusika...yupo hadi leo ni ndugu yangu huyo na hapo alitoka nayo yard hiyo anaishi moroIle ajali haikumuhusisha huyu jamaa mkuu.... pitia vizuri humuhumu jukwaani utaona. Asante
Mnaishi na fatuma kabisa mtakuwa frii masoo😅Fatuma pia tunaenda nae. Nimeweka Total nione kama kweli yanaisha haraka kama asemavyo Extrovert
View attachment 2091015
Kuna siku nimepanda IT pale Mbezi inaenda Zambia ilikuwa X5, dreva yupo na jamaa yake dogodogo inaonekana huwa wanaenda Pamoja na kurudi Pamoja. Baada ya kutoka TRA misugu...jamaa alikuwa anaikamua gari mpaka Mimi mzoefu wa kusafiri night nkaanza kuwaza mwanangu ataishije nikipata ajali daaah. Ilikuwa dogo akimpa tu signal ya "clear" dreva anazitafuta 160+. Kona za Iyovi nadhani tulikuwa kwenye 140+. Tumetoka saa mbili usiku pale TRA, sita tupo Iringa hapo wanawahi saa kumi na moja wawe Tunduma Kuna jamaa anaisubiri gari aende nayo kanisani. Nilishuka Puma Iringa natetemeka miguu.Akiwa naye hatofika hiyo akijitahidi sana ataenda 100 au kama sio peke yake basi awe na wana hapo sawa huku nyuma wana wanapiga vitu vyao utasikia kamua kamua baba bado sijaonaaaaaa
Kanjia ka Dom kazuri sana kwa sprint za hatari! Hasa ukishamaliza kihonda hapo 😋😋😋Dodoma - kondoa unafika 180 vizuri na unatulia hapo Kwa dakika kadhaa
Gari ya kibishoo unaipaje kazi ya kiume😂
Hahahah subie inachakaza road😅
Angejaa tu angejua hajui😅Kuna bodaboda kakosakosa bumper ya Disco 4 hapa, niko kwa miguu bado kidogo nimnase kofi! Nimejikuta tu 😀😀😀😀😀😀
Subaru inahama mzee, respect to the fucn 2.0L boxer! Jana nilikuwa na officer mmoja wa kitengo cha wakuda aisee ile gari inavyoendeshwa ni zaidi ya schumaker😅😅😅 ndipo nilielewa kwanini wanaisifiaga subaru!Sikatai utofauti wa handling kuwepo. Hili linajulikana dunia nzima. Mjapan hamfikii beberu kwa handling. Plus sina authority ya kucomment kuhusu hilo mpaka nimiliki chuma ya mjerumani au mzungu pia.
Ninachokataa ni kwamba gari za Japan kama hizi zimekuwa limited kwasababu haziwezi handle 260 wakati their european/american versions ambao wanashare the same parts wameachiwa.
In short: japanese can do 260 as well ukitoa limiter. Not as comfortably as BMWs obviously but safely enough to be allowed to get there.
Siukatai utofauti. It just that sometimes mnawaweka wajapani wote kwenye kapu moja afu mnatupa kwenye trash bila kuconsider kuwa kuna individualities ndani ya japanese pia.
Nimekumbuka kuna siku tulikuwa tunakandia subaru humu wakati jamaa mmoja kama sikosei The Wolf katoka kudodosha 35M kuchukua XT yake afu wahuni tunasema hamna kitu hapo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Gari ni dereva wala sio ishu ya Amarok ama sijui TDi! Huyo mwenye Amarok ukiwa jasiri unamsomesha namba tu chap😅 hela ya kujazia tank iwepo tu maana tutachakazana kwa 7rpm kila dakika hamna rangi ataacha kuiona huyo bwege! Plus matumizi ya O/D on and off atafanywa mboga tu mbonaBasi nikikutana nayo ntakuwa na discipline nisije kuadhirika
Ila dogo uliupiga mwingi sana mdogo wangu😂😂Duuh pole mkuu mimi wakati najifunza niliwahi kugonga hadi ng'ombe wa watu kwenye kona ila cha kushukuru hakufa. Alianguka tu number plate ikamkata kidogo kwenye mguu.
Yeah mkuu juzi tu nilikua natafta spare za Surf new Model hasa shocks na coilovers mzigo ulikuwa unagonga 850K za mbele tu😅 hapo bado coils zake uki add inagusa 1.3M! Ukijumlisha na za Nyuma ngoma ilifika 2.4M.Kweli kabisa.