Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Kule south zile Golf polo zinaibwa sana..kuna jamaa wamekuja na hii kitu..vipi maoni yenu
Screenshot_20220108-125140_Twitter.jpg
 
Ukifika petrol station kama hujazi full tank, mpe hela yake kabisa. Yeye ndo atajua unataka ya 30 na hawezi weka 50.

Hii ya kuongea sio effective kabisa.

Nikiwa natoka, hela ya matumizi ya gari haikai kwenye wallet, naiweka kwenye center console. Iwe ya mafuta, fine, parking, kuosha n.k.

Nikifika petrol station, nachomoa fungu lake nampa, kama ya 100k, nampa 100k yake. Ikiwa full namwambia jaza mpaka juu, huku namuhesabia fungu lake.

Hii ya kuongea naonaga risk sana.
Mpaka hela ya fine unaweka standby
 
Duuh usiniambie ulifikiri pale kijiweni Morogoro nilienda kula bata. Nilisimama kula tu nilikuwa nakuja Dodoma.

Zote hizo ni safari za kikazi mama wala siyo binafsi. Ingekuwa binafsi na ningekuwa sina haraka mbona ningepita tu.

Hehe si ndiyo nakushangaa unavyotusimanga sisi wateja wa buku tano na kumi. Kumbe unaujua umuhimu wetu.
Ila Karma you seem to be so wise aisee.
Nakufatiliaga humu ndani naona unavo-respond na replies, ni dhahiri navutiwa sana. Mungu akubariki!
 
Hayo ni makosa ya kiufundi,atakuwa hakusikia vizuri...
Mwingine anasikia lakini anakosea pale kwenye kuandika.
Hapo hakuna namna ni aidha umuonee huruma ulipe au alipe yeye au mafuta yachujwe kwenye gari ambayo ni usumbufu sana kwa mteja.
Do
Kule south zile Golf polo zinaibwa sana..kuna jamaa wamekuja na hii kitu..vipi maoni yenuView attachment 2073690
Wezi watakuja na master key
 
Back
Top Bottom