RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 57,769
- 129,508
- Thread starter
- #13,721
Saint Anne Umetisha
Nilitaka kuondoa picha moja nimejikutana nafuta zote dah...hicho ni kile kipnade cha kuitafuta same kutoka momboPicha ya pili kuna view moja kali sana
Kwakweli TZ ina mandhari nzuri Sana.Kipande kitamu sana hiki.
Nakuja boss jioni hii. Ole nisikukuteLeo nipo
Njoo kutuungisha full tank
Asante


Hahaha!mpya ndiyo maana ina speed ya 4G


Ah jamaa hana hela ya mawazo kabisaJanuary full tank challenge![]()




.Kwahio Sisi wa 10,000/- hamtupigii Stori 😳😳Ah jamaa hana hela ya mawazo kabisa
Ndio hawa wateja huwa tunawajazia huku tunapiga stori
Boss wangu akiwa anaondoka.View attachment 2071058
Hali ni ngumu jamaniKuna mwamba hapo kaweka wese la 4,000 Lita 1.6 kweli January si mchezo![]()




.Wengi wa elfu 5 na elfu 10 wenye magari wanakuja wakiwa na gubu tayari.Kwahio Sisi wa 10,000/- hamtupigii Stori![]()
😂😂😂😂Tuache 😳😳
Kwanza wa elfu 5 huwa hawashuki.Kwahio Sisi wa 10,000/- hamtupigii Stori 😳😳

unazipigaga saa ngapi hizi picha? Mbona sijawahi kukufuma?