Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Ndicho nilichokuwa nakifanya jana

Msafara ulikuwa unaenda kwa batch

Kila batch unayoipita ni shida honi lazima ihusike

Nilishazoea heavy duty
Exactly ukipita batch nzima una kama dakika 15 za kutamba mwenyewe then unakuta batch nyingine unaanza kuwakata.

Bunju - Bagamoyo batch zinakuwa na gari nyingi,
Bagamoyo - Msata batch inakuwa na gari 8-10,
Msata - Segera batch zinapungua, average gari 5
Kuanzia Mombo huko ndio watu wanaanza kujitofautisha, unakata gari 3 unatembea.

Kadri barabara inavyofunguka ukubwa wa batch unapungua.
 
Kabisa

Upo sawa
 
Back
Top Bottom