Nahisi hunywi cappuccino mpaka uhakikishe imechorwa😀😀😀🤣🤣,
sema huyu ni mwamba, huwa wakiniundia wadada wananiwekea kopa 😂😂😂Nahisi hunywi cappuccino mpaka uhakikishe imechorwa😀😀😀🤣🤣,
Jioni nitawawakilisha bambalagaNaona unawakilisha.
Hakika mvuvi lzm anukie shombo ya samaki.......yaani wadada wakikuona tuu wanakutambua na wanakuwekea kopa😆😆😆😆sema huyu ni mwamba, huwa wakiniundia wadada wananwananiweke
😂😂😂😂, nakuwa kama chambo samaki lazima watamani kuila tu, maana chambo iliyonona hakuna samaki asie itakaHakika mvuvi lzm anukie shombo ya samaki.......yaani wadada wakikuona tuu wanakutambua na wanakuwekea kopa😆😆😆😆
😂😂😂😂, pazuri sana pale kuogelea unashika samaki kwa mikoni, uhitaji ndoana na chamboNilivyofika hapo ndio nikajua kwanini unapapenda.
Wapo wasioitaka mkuu maana wanakuwa wameshajua kuwa ni mtego, nakuwa kama chambo samaki lazima watamani kuila tu, maana chambo iliyonona hakuna samaki asie itaka


😊😊 😀😀😀Sio kwa samaki wale! Ni balaa
Kuna kanuni kibao za chambo, unamjua sawaka wewee 😂😂😂Wapo wasioitaka mkuu maana wanakuwa wameshajua kuwa ni mtego![]()
Kuna samaki ni wajanja etiKuna kanuni kibao za chambo, unamjua sawaka wewee![]()


😂😂😂 ila kweli, atakwepa sana ndoano ila ipo siku huwa ina nasaa.. siri kubwa ya uvuvi ni kutokata tamaaKuna samaki ni wajanja eti![]()
Hahaaa haya banaila kweli, atakwepa sana ndoano ila ipo siku huwa ina nasaa.. siri kubwa ya uvuvi ni kutokata tamaa

