Wazee tuwahurumie warembo jamani wenye hela muwape hata passo tu jamani!๐Jua ni kali sana hapa mjiniJF kila mtu ana gari....unakwama wapi?
๐๐ Jana nilikuwa na tembea tembea tuUnachapa lami tu mzee
Vijana wa Subaru wanatambulika ulimwenguni kwa vurugu barabarani ๐ team Toyota tuheshimiwe! Msituchanganye na hao majamaa wa fuji heavy industries!
Mitungi inaharibu muonekano wa gariCNG full tank sijui hata kama inafika elfu 20 yani ๐น๐น๐น
Hahaha unapasha chuma moto, au ndio mambo ya fundi rangi kutest gari ๐๐๐ Jana nilikuwa na tembea tembea tu
Hahaha si unauficha nyuma kule ๐Mitungi inaharibu muonekano wa gari
tukiwapa paso wao wanatupa nini ๐ณ๐ณWazee tuwahurumie warembo jamani wenye hela muwape hata passo tu jamani!๐Jua ni kali sana hapa mjini
Lazma tukae nao mezani kwa majadilianotukiwapa paso wao wanatupa nini ๐ณ๐ณ
Siku ya jana hata sikuwa naielewa, nikaamua tu kuanza kutembea, nimerudi nimechoka nikalala zangu ๐๐๐Hahaha unapasha chuma moto, au ndio mambo ya fundi rangi kutest gari ๐
Nyie lazma muondoke mlijazana sana road reserve za mjini๐ sahizi biashara ni fremu sio kupanga majamvi barabarani ama vimeza๐คNdio hapo sasa .
Mwambie Extrovert wanambeya hatuondoki,,tutabanana hukuhuku.
Utoaji wa paso lazima uwe na vigezo vyake, chura kidogo , sura isiyo na hatia kidogo na sifa zingine za ziada kidogo hapo paso inatoka na mafuta ya miezi sita ๐๐ na service mwakaLazma tukae nao mezani kwa majadiliano
Huyo achana nae kwanza hata vitz old model hapewi .. laba tumfikirie SanLg used ๐๐๐Kwani Depal yeye analizungumziaje hili?
๐๐๐๐๐ kuna ka vits namba B jamani mil.3 na point tu walau ale ac jamani๐Huyo achana nae kwanza hata vitz old model hapewi .. laba tumfikirie SanLg used ๐๐๐
Kama kuna Sanlg nishtue au vitz namba T001AAA ๐๐๐๐๐๐๐ kuna ka vits namba B jamani mil.3 na point tu walau ale ac jamani๐
Mtafte huyu0657 888 883Nahitaji Recommendation ya fundi mzuri wa kupiga rangi Dar wadau
Ukinimiss sema tu, wala haina haja ya kuhangaika sana.Huyo achana nae kwanza hata vitz old model hapewi .. laba tumfikirie SanLg used ๐๐๐
๐๐๐ Ukweli nime ku missUkinimiss sema tu, wala haina haja ya kuhangaika sana.
Ahsanteee...๐๐๐ Ukweli nime ku miss
Wakuu salama? poleni kwa mihangaiko ya maisha. Nilipotea humu ila yote ni heri ni pilika za maisha.
Jamani I need your ideas, kwa wenye uzoefu, mnaweza kushare moja au mawili kuhusu hii gari ya KIA Sportage? 2012-2013? Hapa kwetu bongo vipi zinahimilika? Do we have good fundis au dealer?
Please share your honest experience! Especially kama kuna aliyewahi miliki au deal na hii gari.
Yaani nahitaji kausafiri lakini ushuru haushikiki kabisa! Kila ninapogusa, hapagusiki....!
Extrovert Mshana Jr Holy Man Hornet Kaveli Karma na wengine wenye neno, tafadhali!!!.