miss pablo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2018
- 5,409
- 11,053
Kabisaaa. Halaf inatakiwa uvimbe kama afisa kipenyo. Wala hutambulishi cheo chako. We unawapa taarifa trafiki halaf unawaambia nutafuatilia hili jambo niko zaidi ya serious halaf unatembea lzm watetemeke. Unawaachia na hilo 10 la kiwiWao ndio wanakula 10k wanatulia, ningewatisha naifikisha hii ripoti kwa boss wao.



