Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,901
Hapo ndio pagumuPanapo majaliwa ukipita tena ufanye utalii wa ndani mkuu, watu wa Pwani wanapenda kukirimu wageni.
Wakijua ni Mzee wa masafa lazima mtoto wa mtu akung'ang'anie


Hapo ndio pagumuPanapo majaliwa ukipita tena ufanye utalii wa ndani mkuu, watu wa Pwani wanapenda kukirimu wageni.
Wakijua ni Mzee wa masafa lazima mtoto wa mtu akung'ang'anie


Wanajua kila ukirudi hukosi kurudi na mifuko yenye mazaga mazaga. Mpaka marafiki na majirani zake watakutamani kama huna speed governor unasepa na Kijiji.Hapo ndio pagumu![]()
Hiyo kawaida sanaWanajua kila ukirudi hukosi kurudi na mifuko yenye mazaga mazaga. Mpaka marafiki na majirani zake watakutamani kama huna speed governor unasepa na Kijiji.


Mwamba dunia sio yetu hii,usiogope sana,Hiyo kawaida sana
Vifurushi vya Ems
Duh! kusepa na kijiji tena
Hapo ndio dhambi inapoanzia
Ni kweli hapa tu wageniMwamba dunia sio yetu hii,usiogope sana,


Basi hutachukua one for the road.Hiyo kawaida sana
Vifurushi vya Ems
Duh! kusepa na kijiji tena
Hapo ndio dhambi inapoanzia
Basi hutachukua one for the road.


Kwa kweli mkuu, mpaka promo utakapoishaBima ya ajali na maisha
Kuna bima inatolewa kila ukiweka mafuta na kulipia kwa simu (masterpass,lipa namba ya selcom). Mara nyingi huwa natumia njia hii kulipia mafuta kituo cha Puma, tangu wiki tatu zilizopita napata msg ya bima ya bure. Leo nimei download na kuisoma kweli ni insurance cover ya wiki moja inacover ukipata ajali,ulemavu na kupoteza maisha.
Imagine unasafiri unaweka mafuta na unapata extra cover ya ajali na maisha kwa wiki moja bure, sasa mimi naweka mafuta every week ina maana naweza kuwa na bima bure mwaka mzima.
Hapo unakuwa tayari kubeba dhambi zake zoteHuyu mtoto niwaaaii


Hapo unakuwa tayari kubeba dhambi zake zote
Maisha yafaa nini tena![]()

unabeba tuu, si kama ina flow mzee?Tunazitafuta ili zitumike mzeeunabeba tuu, si kama ina flow mzee?



Wadau sorry naomba kujua admin wa kundi la whatsapp la wazee wa road trip nimfuate pm aniadd.
Hii safi sana, ubaya ni usumbufu kwenye malipo tuu, mkuu hapo hujam notify yoyote kuhusiana na benefits wanazoweza kupata ukikanyaga kibati mpaka mwisho ikawa finito

Mnajidai hamkuona wakati jamaa alishare link hapaDuh mlianzisha lini hii group?
