wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,210
- 37,829
😄😄😄 Naona umenipata vzr kabisa mdau.anatakiwa apulizwe kwanza ndio atapata wazo la dishwasher 😊😊
😄😄😄 Naona umenipata vzr kabisa mdau.anatakiwa apulizwe kwanza ndio atapata wazo la dishwasher 😊😊
Kipindi cha mvua walikuwaga wanabadilisha labda siku hizi. Yaani gari nyingi walikuwa wanawapa abiria wa Kimara na Mbezi maana hao foleni zao ndiyo zilikuwa zinajaza vituo.
Siku hizi wana gari nyingi sana,,route ziko specific na Kila eneo na route yake .
Hiyo barabara huwa natembea mwendo mdogo sana huwa napenda kuona mazingira ya ukanda huoPoa poa
Hii barabara kuanzia hapa hadi nifike hanang hainaga shobo
Ngoja nimwage moto, nikale machalali Himo jioni![]()
Bila kupulizwa huwa wanapata chekelea hawa wanakuwa hawaeleweki😄😄😄 Naona umenipata vzr kabisa mdau.
Aahh tulikuwa tushajichokea zetu vichwa vinawaka moto balaa, tumehangaika kupigana tumekula vipepsi vya tumbo bahati mbaya ndiyo siti tulizoambulia halafu umpishe mtu kizembe tu daah inauma hata kama ni haki yake.Mna tabia mbaya![]()
Mmhh mguu wote huo wa kuvalia kimini unauficha na madera, wacha kuwakatili Vijana kuona mambo mazuri.Me na vimini wapi na wapi? Kabati zima lina madera.
Aahh huyo tumpotezee tu tusije tukafufua zile mada tena, sometimes Hutakiwi kujitetea sana unamuacha tu mtu aamini kile anachotaka kuamini.Me naonaga mtu tabia zake binafsi basi anahisi kila mtu atakuwa na hizo hizo.
Wakali wa hizi kazi sio



Gear, sprinter na govi 4×3Kwenye truck hakunaga auto
Tamka ant cruise
Hii ni 12 mzee
Na hakuna raha km kuendesha gar kubwa barabaran unaona wote watotoNa zilivyo juu Sasa
Kubembea juu nako kipaji.
All in all ni gari za kibabe,za kiume yaani.



Nishafika mkuu mola akijaalia utanikuta singapore!Njia ndio hiyo hiyo.. ka mji nakapenda sana hako hakana mambo mengii next time ukipita hapa tutaonana
Hizo nauli za Uber ukikusanya miaka 2 tayari unapata chombo cha usafiri.Aah yaani Dar kama hauna gari na kama nauli za uber au bolt ni za mawazo inakuwa msoto sana aisee
KabisaNa hakuna raha km kuendesha gar kubwa barabaran unaona wote watoto![]()

Hao ni halali yao kusubiri.Kipindi cha mvua walikuwaga wanabadilisha labda siku hizi. Yaani gari nyingi walikuwa wanawapa abiria wa Kimara na Mbezi maana hao foleni zao ndiyo zilikuwa zinajaza vituo.
Wale wa Kivukoni na Morocco watasubirishwa hapo maana wanakuwa wachache hivyo wanadhani hawana haraka, gari zao zinabadilishiwa route wanapewa hao abiria kama utitiri.
Umeanza kuvaa Madera siku hizi?Me na vimini wapi na wapi? Kabati zima lina madera.
Mimi mwenyewe siku nikiamua kukaa,hata aje nani sisimami.Mimi mwenyewe nishawahi fanya hivyo siku hiyo kwenye kugombea siti si nikavamia za wamama wajawazito, tulikuwa wawili halafu wote mabinti wenye afya zetu tu.
Wenye siti zao wakaingia wakaanza kutuangalia kutaka tuwapishe si tukajifanya kama hatuelewi, yule mwenzangu ndiyo kabisa akainamia begi lake akalala wakaanza kutusema.



,naangalia pembeni naona mdada anajidai kusinzia

.Nimeokoka 😎 shida ikaanzia hapo 😂Mmhh mguu wote huo wa kuvalia kimini unauficha na madera, wacha kuwakatili Vijana kuona mambo mazuri.
Mbona nayavaa sana dogoUmeanza kuvaa Madera siku hizi?
Maombi yaendelee

Basi utakuwa umeanza hivi karibuniMbona nayavaa sana dogo