Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Ila mnaomia ni nyie ndio maana mnatetewa tetewa kizembe zembe, ooh! haki za wanawake sijui nini.. hamna kitu mwanaume anabaki kuwa mwananume Mungu mwenyewe mwanaume ndio utaona kwamba tutaendelea kuwakanyaga vichwa hadi mkome
Teh teh huyu Mungu ni wa wote mkuu

Na ndiyo maana pamoja na yote tunaona single mothers na makahaba wastaafu ambayo ni makundi yanayotukanwa sana bado wanaolewa kila siku sasa sijui hao wanaolewa na wanawake wenzao

Maana tulitegemea kuwatukana kote kule basi hata Mungu angekuwa anawapa mabikira muwaoe ila hola mkijitahidi sana mnaishia kuoa "mama wa marehemu" kwa kujifariji kuwa eti hawajatumika sana
 
Bikra tumetoa nyingi, wapole kwa wakorofi tumechakaza sana. Kuoa si ni chaguo la mtu mwingine anao ili amtoe kafara mke wake.. usifikiri kila anae oa anaoa kwasababu mna maana 😀😀😀😀.. Ma single mother sema nini ? watamu sana
 
Kumbe kuolewa mnaona bado deal kubwa eeeh
Hahaaa umekuja nilipopataka

Ninyi ndiyo mnaona mwanamke kuolewa ni deal kubwa ndiyo maana mmekazana eti "tuwapelekee moto halafu tuwaache" si maana yake mnataka ndoa iwe deal kubwa sana kwenye kizazi hiki ambacho wanawake wanataka pesa tu

Na ndiyo maana nikakuambia siku hizi ndoa siyo fimbo ya kuwachapia wanawake tena they dont care anymore they have nothing to lose na maneno ya jamii wameshayazoea maana jamii yenyewe ndiyo nyie nyie wanaume hakuna viumbe wengine
 
Back
Top Bottom