ISO M.CodD
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 8,076
- 17,463
Afu unipe command safari nzima kwa lita moja ya mafuta sioNaomba lift
Nitachanga Lita 1 ya mafuta![]()
Afu unipe command safari nzima kwa lita moja ya mafuta sioNaomba lift
Nitachanga Lita 1 ya mafuta![]()
Nimejishangaa piaUmejitahidi hujakimbia kabisa![]()
Sielewi. Nadhani nimezeeka ghafla. Sijafika 150 safari nzimaUlikuwa unaumwa au?
Ndiyo NdiyoAfu unipe command safari nzima kwa lita moja ya mafuta sio


Ni maajabu haya!Nimejishangaa pia
Mungu ni mwema .....poleniView attachment 1939476
Mungu ni mwema Tumetoka salama
Poleni mkuu
Mungu ni mwema .....poleni
Yupo mmoja ameandika IST yake "king of the road" halafu akaongezea "ready to race"Eti 'Racing Subie ' vijana banaView attachment 1927023

DuhView attachment 1939476
Mungu ni mwema Tumetoka salama
Umeanza lini kula muwa?Sogea hapa city pub,ni nyuma ya century plaza,nipo napiga kvant hapa mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah mzee baba kimeo hiko aisee😅😅😅
Wife akiona hio umeisha😅wenye majina ya Aisha huwa ni shidaaa sema hiyo namba imefutika futika hapo 😊😊😊😊 gari kama imepaki kwenye kiwanja flani hivi.. sema hapo ni msala gari ikienda home 😅😅