Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Nilikua Sijawahi kulisikia Hilo neno kabla ya maza hajalisema mkuu.
Hahaaa sasa huko Makunduchi Unguja ya kusini anakotokea maza ndiyo balaa mtu aweza akamaliza sentensi na usielewe kitu ila mwenzio anakuambia kaongea kiswahili

Na according to wataalamu wa lugha unaambiwa kiswahili chao ndiyo sahihi kuliko hiki cha kienyeji tunachokiongea sisi wabara kule wanaongea advanced swahili

Hapo ndiyo nilipojua kumbe kiswahili nacho ni kigumu na ni kipana sana na kina misamiati mingi tu ya kutosha ambayo wazawa wengi wenye lugha yetu hatuijui
 
Back
Top Bottom