Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,717
- 98,375
Tumekumiss pia Sana.
Usipotee sana,huku jf dunia inazunguka Sana.
Tukachatie kule chitchat kilinge Cha Mshana.
Huku majadiliano yalikuwa mengi hadi tuliharibu uzi wa watu![]()
Yaani mmenichekesha mweeh. Tukutane kwa Mshana
Aahh yaani tulibishana hadi tukatoka kwenye uhalisia tukaanza kufungana kamba sasa
Miss you more dada lao

.






,,halafu aliyeibamiza mwenyewe anaishangaaa
