Boeing 747
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 3,517
- 9,437
Na wale wanao uza Toyota Corolla 100/110. Kwa million 4 mpaka 3. Tunasubiri namba E ifike tuweke dau la laki 8 kisha nazuga kama naondoka kumbe nasubiri jibu la muuzaji.



miaka Mitatu kutoka leo, athletes crown zitakuwa kama GX 100 zilivyo leo hii..