Boeing 747
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 3,517
- 9,437
Wanaostahili kupigwa faini hii nadhani ujumbe umewafikia...Naunga mkono hoja. Hawa wachafuzi wa uzi wapigwe 'ndamlo' ndipo msamaha upite... wese Lita 5 impate kila mwenye mkoko kwenye uzi huu.
Kwa wenzagu na mie wenye baiskeli, tupewe sneaker CONVERSE pair moja moja 'tukaoshee' kitaa na bike zetu...View attachment 1873830
-Kaveli-




yani manouver zake ningekuwa naomba tu ->> kisha naipa moto mara shwaa nimekata semi 3 chap!
Usinitafutie kesi za uvamizi wa uzi