b4theg
JF-Expert Member
- May 31, 2011
- 357
- 1,213
Sina Shaka wadau wengi wa Road trip wanao fika hili eneo itakua tumeonana ila tu hatujuani haha...muwe makini mkishapata ugimbi wengi mnaingiaga barabarani hovyo nahiyo ni barabara kubwa mbaya sana usiku magari yanafunguka kutoka kwenye mataa na kutokea kisasa.