Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Hiyo mboni haitoguswa.. itakuwa salama tu.. hata kwa trip ya geita itapendeza
Anajua kabisa haitaguswa, itakuwa salama ila woga wake yeye ni safari tu.
Nikiingia road anaogopawakati nishawaambia mimi siji kufa kwa ajali.
Na nikimwambia hizo siku ndiyo kabisaa ,heri nimwambie kwenda na kurudi.
.
.
Geita utapepea mno njiani,labda niendeshe Mimi kwa speed ya 50 na I'm sure tutakesha njiani.
Fanya ile ya Tanga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom