Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Angenipa hata ishara. Wakati mwingine kufuatwa nyuma nyuma sio vizuri sana inaketa hofu. Tena ma crown meusi alafu ukute ni usiku
Kuna siku kuna gari nimetoka nayo dodoma , ipo nyuma yangu hainipiti ilikuwa V8, nikaenda nao, kila nikikata mafuta wapo nyuma. Nikasema huu utoto nikapaki gari, nimekaa pale nakula mziki uzuri , badae natoka nawakuta mbele nao wamepaki 😀😀🙂.. nikasema isiwe kesi nikaenda walipo paki na mie nikapaki.
 
Eeh! Unakubaliana na hari tu, ila kuanza fukunyua gari kuweka madude mengine hapana, naamini sana katika Standard. Kiwandani wanaunda gari ina HP 100 inabidi uwe mpole, wamenagalia kuanzia safety etc .. mfano Majesta Ina HP kubwa ila ipo limit, ingawa unaweza chokonoa, ila body yake nahisi haijawa designed kuchochora 300.. ingawa unaweza fanya ukitaka.. maisha ni kuchaguaga tu.. mie muumini sana wa Standard
Kuna BMW M5 imekuwa tunned na Evolve.

Kitu kinaenda mpaka 1000 hp.

Hii gari niliona kwenye drag races za CarWow.

Nimeitamani mpaka basi.
 
Back
Top Bottom