Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,380
Amen
Ila kuna watu wanapendwa aisee. Wengine tukipoteaga hata mwaka hakuna anayetuulizia hapa dah! Halafu huyu mwamba anauliziwa na mabinti tupu...na hata taarifa za usalama wake zimeletwa na binti. Kuna la kujifunza hapa wallahi. RRONDO, I salute you bro












