Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

View attachment 1755913
picha ya @Boing 747
mimi hilo eneo pia nina mkosi nalo, kuna jamaa wanajificha kituo cha Chama pembeni ya geti la Mtei Ogaden Estate hawataki 10 kabisa, nimetermka toka Tengeru ndio naianza double road wakanizoom 65km.h nikabembeleza mpaka 15 nikaona nipokee tu cheti 30,000
basi safari nzima mpaka Dodoma nikawa mnyonge nisijepokea cheti kingine

Na kwa huu mkeka lazima ujiachie aisee...1
 
Pisi zibarikiwe milele wakuu!

Trip ya leo Dar to Dom nikasema lazima niweke pisi kushoto ndio kitaeleweka. Na ikawa hivyo.

Matokeo yake gari imeaverage 11km/l, hii ni engine ya petroli cc3500 ambayo nimezoea kutumia 8km/l highway.

Lazima nimtafute nimtoe hata lunch kwa pesa aliyonisave kwenye mafuta!
 
ilikuwa infloat mara kwa mara. Nikanunua repair kit, fundi akazingua. Nikanunua carburator mpya muda wote ina mafua.

Nikaja kupata carburator used Nairobi mashine imetulia sasa
Yangu nikiweka stand ndogo ina float, fundi wameishindwa I guess maana wamejaribu sana na wakanionya nisinunue carburetor mpya... it seems they were right judging from your experience.

Naishi nayo hivyo hivyo... kila nikipaki nikaweka stand ndogo nafunga mafuta. Otherwise haina shida.
 
Pisi zibarikiwe milele wakuu!

Trip ya leo Dar to Dom nikasema lazima niweke pisi kushoto ndio kitaeleweka. Na ikawa hivyo.

Matokeo yake gari imeaverage 11km/l, hii ni engine ya petroli cc3500 ambayo nimezoea kutumia 8km/l highway.

Lazima nimtafute nimtoe hata lunch kwa pesa aliyonisave kwenye mafuta!
Tufafanulie kidogo mkuu..
Hii pisi ilisaidiaje kusevu mafuta..?

Au ilikojolea kwenye tank..?
 
Yangu nikiweka stand ndogo ina float, fundi wameishindwa I guess maana wamejaribu sana na wakanionya nisinunue carburetor mpya... it seems they were right judging from your experience.

Naishi nayo hivyo hivyo... kila nikipaki nikaweka stand ndogo nafunga mafuta. Otherwise haina shida.
Kitu nimegundua ni kwamba Kenya walianza tumia TVS zamani sana. Spare parts kule ni nyingi.

Ukipata mtu anaenda Namanga au Taveta muagize used ni nzuri sana. Wanazo mpaka za Apache CC 200 wale jamaa.
 
Wale wa sedans inabidi muipite njia ya Manyoni to Tabora kwa kupitia Itigi. 250km za lami mpya haina mashimo na ina curves tamu mno zile za kupita na spidi kali kwa kufuata 'racing line' plus S curves za kutosha.

SUV lovers poleni sana kuna kitu mnakosa
 
kipande kingine piga Nzega pale hadi Tabora mjini, barabara haina tuta.. na haina magari mengi, unafunguka tuu
 
Back
Top Bottom