Ghostx
Member
- Oct 18, 2017
- 39
- 62
Hii itakuwa Volkswagen Beetle ya Burigi Chato![]()
,hii gari kwa kuchemsha asikwambie mtu ila ndo hvyo mambo ya Beetle za you tube
![]()
wazungu wana vile vigarage vyao viko uwani

, wakiamua kufufua vigari vya babu zao wanakifufua kwelikweli.

labda uifananoshe na premio hivi
