The Monk
Platinum Member
- Oct 12, 2012
- 20,318
- 46,058
Dooh mwanampotevu Hatimaye umerudi, happy new year to you and yours, tunashukuru mungu kama mu wazima wa afyaHappy new year wana ROAD TRIP...May God bless you all and have prosperous 2024!


Woow hongereni sana mkuu, mungu awalindie Jr, to more years of memorable road tripsMwisho wa mwaka 2023 sikuweza kusafiri nilikuwa busy na ujio wa Jr.
Hopeful 2024 tutapiga trip na Jr.
In fact road trip ya mwisho wa mwaka 2022 ndio Jr alitengenezwa
😎😎


Nikajua gari yangu aiseMkuu mm juzi nimetoka Mwanza Saa 12.30 asubuhi, nimefika dodoma saa 7.30 kamili mchna. nimekaa dodoma for 3hrs nimeondok saa 11 kasoro nikafika iringa saa 2 kasoro nikazuga zuga kama 15 minuts hivi kujaza mafuta na kupata soft drink niliondoka iringa saa 2 na madakika by saa 6 kasoro usiku nili ingia home..View attachment 2849229
Sijatembelea huku muda! Nawe pia ulipotea sana nimefurahi kuona mchango wako tena.Nini kinakuzuia?
Nitaweza? 😂😂 ni bus?Kapicha basiiii...