Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,146
- 190,619
Mdogo wangu pia anauza hayo mapikipiki ya hivyo. Ma BMW na Kawasaki huwa anayo na bei zake ni around 16-18Mvipuri sio ghalama sana ila kwenye kuinunua ndo balaa hiyo 1200gs ni almost 35 millions tsh used ndo unapata kwenye 25m Hivi
wabongo wanashangaa