ISO M.CodD
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 8,076
- 17,463
Na wakati niko korogwe wewe uko msata na ukanikuta kabla ya Same!
Usingepaki nisingekaa nikufikie. In fact nilikaribia kukata tamaa mpaka ulivyosema upo korogwe wakati huo ndio nimetoka segera
Na wakati niko korogwe wewe uko msata na ukanikuta kabla ya Same!
Au ukute na yeye alikuwa bado Magomeni huko![]()
Wabongo ni noma
5W30Ndugu zangu habari, naomba kujua recommended oil nzuri kwa Toyota Axio “saloon”. Wataalamu naombeni msaada wenu nisije mix mafaili.
Gari Ina umri gani? Kilometa ngapi?
5W30
Shacman F3000 truck
Truck hapo ni just On!Hii ni bus au truck? Hapo imewaka au just ON?
Mule mule jombaaShacman F3000 truck

Oohh kwa mileage hiyo sawaHii ni recommended lakini kwa gari zenye low mileage ila gari zetu hizi 5w40 offers more protection
Weichai Cummins Engine bado mbichi kabisaMule mule jombaa![]()
Yap nainjoy maisha mdg mdgWeichai Cummins Engine bado mbichi kabisa

Jambo dogo sana hiliWangapi mna huu ujasiri?View attachment 2528470

Kumbe huyu ndo Sossy magariView attachment 2535922



