Wazee wa riddim...!!!

Wazee wa riddim...!!!


Ukianza kuisikiliza kisha ukarusha ngoma hata moja niambie nikurudishie bando lako.
Hii ni playlist ya majirani zangu wapende ama wasipende watasikiliza tu.

Tatizo nashindwa kuzidownload,you tube zinakataa naomba link if possible
 
  • Thanks
Reactions: Lee
1; Country Bus
  • J Boog- Let me love you
  • Assassin- Country Bus
  • Wyre- Kingstone Girl
2; Take Time Riddim
  • Deep Jahi- Greatness
Zipo nyingi sana asee ila Duane Stephenson ni mtaalamu, kamsikilize
 
Kuna huyu jamaa anaitwa dexta daps ni mkali sana.
 
mara ya kwanza kusikia haya makitu ni pale nilimwazima jamaa mmoja pc kurudi kajaza haya madude nkahisi kadata.

kosa nililofanya ni kuanza sikiliza mara fantah mojah, queen ifrica, devano, ...nikajikuta nimekuwa mfuasi ghafla

mpaka leo siwezi tembea bila kusikiliza haya makitu
 
Kati ya reggae riddim ninazozikubali ni hizi...
Soulmate riddim
City life riddim
Cold heart riddim
Rootsman riddim
Reggae fest riddim
True emotions riddim
Hizi makitu wacha kabisa wakuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom