Wazee wa riddim...!!!

Wazee wa riddim...!!!

Hizi mambo bwana usikilize ukiwa high, ubongo upo kwenye 3 dimensional
Riddim ni noma unapata furaha/Raha isiyoelezeka Bliss. High vibe. Huu Uzi umenikumbusha wanangu wa Arusha wamemaliza safari yao Kevoo na Jerry tulikuwa tunasilikiliza Riddim pamoja enzi hizo Masai camp.
 
Namshukuru Sana DJ Lass Angelvibes kwa kazi kubwa aliyofanya kwa kututengenezea Riddim mixes Kali kama zifuatazo

Raggae fest riddim
Heart & soul riddim
Brighter days riddim
Perfect key riddim
Between the lines riddim
Country bus riddim mix
Soulmate riddim
Fresh island Riddim
Big stage riddim
Live in love riddim
St. Andrew riddim
Raggae rock riddim
Kingston riddim
The pleasure riddim
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom