Wazee wa riddim...!!!

Wazee wa riddim...!!!

Kuna riddim moja hupigwa sana Kiss Fm,siijui hupigwa mfumo wa mixing ni tamu sana aiseee
 
Two Souls Riddim (Reggae Beat Instrumental) 2015 - Alann Ulises Rhythm


Source: Alann Ulises
 
Mr nazikubal riddim mixing zinazomixiwa na ma dj wa kenya eg.. Dj lyta na wale jamaa wa supremacy sounds

Kwa upande wa msanii wa riddim namkubal sana KONSHENS
Kaka kuna DJ anaitwa Mantisa/ Mantis niliwahi kuona channel moja ya Kenya nikiwa Arusha sjui unaweza kunisaidia kuzipata
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom