Wazee wa riddim...!!!

Wazee wa riddim...!!!

Busy signal one more night, reggae music again
 
Asante kwa huu uzi nami ni mdau na asilimia 80 ya play list yangu ni muziki from jamaica. Ila kuna kitu naomba tuwekane sawa kama niko wrong mnielimishe! Nijuavyo riddim ni beat inayopewa jina then wasanii wanaipitia beat hyo kuoka ktk studio au producer au dj husika mmiliki wa hyo beat, pia yaweza kuwa ni track ya artist ambayo wasanii wengine wameipenda beat yake na kuipitia! Sasa basi tunapotaja jina la music ni vizuri tukataja na jina la riddim yake other wise ni single tuun mfano nawapa. Kuna jamaa anaitwa Rasun-track inaitwa Hard to Walk away ipo katika riddim ya Live in love. So ukisearch jina la hyo riddim ya live inb luv utakutana na pin kibao nzuri za wasanii wakali! Mi naikubali hyo ya Rasun vibaya sana! So kama nipo sahii niambieni niwashushie majina ya Riddim kibao ambazo utakutana na wasanii wengi na ni njia nzuri ya kumpata msanii umtakae kama utajua kapita ktk Riddim ipi. Mfano hyo comfortzone ya busy ipo ktk riddim ya Big stage riddim! Ni hayo tuu 1luv 4all riddimer!!
 
Umetisha sana mkuu na uko sahihi plz dondosha vitu
 
Nitakuwa nawasoma then nawapa jina la riddim maana mixing ni kubwa kwa size za kudownload. Itafuteni Rising Sun! Humo hakuna utakayoirusha wakati wakusikiliza!
 
Aiseeh, hizi sweet reggae ndizo zinimaliziazo data zangu.
Nimekuwa mtumwa wa kupakua sweet reggae videos!
 
Honey pot riddim - kuna mtu anaitwa torch humo ni noma! Ingawa chronixx kaua kabisa!
brighter day - humo busy na r c wananimalkizaga kabisa!
Think twice - humo kuna jamaa fantan mojar!
Ngoja nile kwanza narudi
 
Mi nawaelewa kina Jah Cure,Chriss Martin,Roman Virgo,Rich Spice,Popcaan, Busy Signal, kwa mademu kina Cecil,Alaine hawa song zao nazielewa knoma..........
 
Kati riddim mix bora zaidi kuwahi kutokea basi kuna "up close riddim" na "bookshelf riddim"
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom