Wazee wa Pixel: Google wamezindua Pixel 10 Series!

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
33,703
Reaction score
97,517
Siku ya leo tar 20 August, Google wamezindua simu zao za Google Pixel kupitia event yao ya Made by Google 2025.

Baadhi ya simu zilizozinduliwa ni Pixel 10, Pixel 10 Pro, Pixel 10 Pro XL, na Pixel 10 Pro Fold.

Mbali na simu, Google wamezindua pia Pixel Watch 4 Smartwatch na Bud 2a earpods.

Event ya Google iliudhuriwa na watu mashuhuri wengi ila kivutio wakiwa ni mkali wa NBA Stephen Curry, Dereva wa F1 wa McLaren Lando Norris na wakali wa Pop Jonas Brothers.

Pixel 10 sahivi zina camera 3 sio 2 kama 9 za mwaka jana (telephoto camera imeongezeka).

Pixel 10 Pro na Pro XL hazijatofautiana sana na za mwaka jana zaidi ya kuboreshwa features tu.

Pixel 10 Pro Fold nayo haijatofautiana sana na model ya mwaka jana, ila bei yake shikamoo, inafika hadi Mil 5.5!
 
Hizi zitatoka tayari zikiwa na Android 16 ambazo user wengine wa pixel kuanzia 6 series tayari tulishapata update ya Android ya 16 tangu June kwasasa tunasubiri Material expressive 3 ambayo yenyewe ndio itakuwa na Update za Interface,

Wali predict kuwa unaweza kuwa out earlier September aisee nilijaribu Beta iko very fine
 
So wadada waandae pain killer 😎
 
2023 nilinunua pixel 4a 5g kwa Tsh 400k naitumia mpaka sasa.

Mwaka huu 2025, hii pixel 4a 5g inauzwa chini ya 320k na ukiwa na 400k unapata pixel 6 🙌

Anyway, mm naikubali sana pixel 8 pro, ngoja ishuke mpaka 500k ntainunua 😎
 
2023 nilinunua pixel 4a 5g kwa Tsh 400k naitumia mpaka sasa.

Mwaka huu 2025, hii pixel 4a 5g inauzwa chini ya 320k na ukiwa na 400k unapata pixel 6 🙌

Anyway, mm naikubali sana pixel 8 pro, ngoja ishuke mpaka 500k ntainunua 😎
Yeah ata mimi 8 series nazielewa sana. Nitaishi na Plain
 
UI ya Pixel ipo simple sana maybe M3E itaibadirisha maana ukitoka Galaxy kuja pIxel naona unakutana na UI simple sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…