Wazee wa Nyasa wamuonya Banda

Wazee wa Nyasa wamuonya Banda

This is a loosing battle, iwe ni diplosia, mahakaman na hata nguvu. Ili tuwe kushinda tunahitaj viongozi bora, swali lamsingi hawa viongozi wetu ni bora?. Kwa ninavowajua wakihakikishiwa % nzuri ya deal la mafuta na Malawi wapo tayar kuuza hata vijiji 2. Ushahid ni ardhi iliyouzwa Loliondo waarabu wanaruka na kutua watakavyo, mikataba ya uzalishaj wa umeme (Dowans, IPTL etc) madini (GGM) na sasa gesi na mafuta Mtwara. Huyo Banda akitumia uzoefu huu atapata hata vijiji 2.
 
Hakuna namna tunaweza shinda hii case iwe kwa diplomasia au mahakamani ile treaty ya heligoland imetubana sana
 
nadhani hapa suala ni kujadili kuhusu mmiliki halali wa ziwa Nyasa... si nani mwenye nguvu kubwa ya kijeshi... ishu ya malawi ni tofauti sana na Uganda
 
" We threw Amini out and he ended up dying in exile in Saudi Arabia. Does this grand-daughter of (Kamuzu) Banda (President Joyce Banda) want us to do the same to her?" Tafsiri yangu; " Tulimuondoa Amin na akaishia kufa uhamishoni nchini Saudi Arabia. Je, huyu mjukuu wa (Kamuzu) Banda (rais Joyce Banda) anataka naye tumfanyie hivyo?" http://www.dailynews.co.tz/index.php/local-news/9416-elders-rap-malawi-over-border-claims

Nisinge jibu hii HOJA LAKINI NIMEONA UONGO KUWA JOYCE BANDA UNASEMA NI MJUKUU WA RAIS KAMUZU BANDA...

Kwanza BANDA huko Malawi ni kama HUKU TANZANIA Shija ilivyo; Mushi ilivyo; Rwegasira Ilivyo - Yaani Very Common watu

wanaweza wasiwe ni NDUGU
Rais wa Malawi kabla hajazaliwa alikuwa anaitwa JOYCE HILDA NTILA na amezaliwa April 12th 1950

[She began her career as a secretary and became a well-known figure during the rule of dictator
Kamuzu Banda (no relation)]

Baba yake alikuwa POLISI BRASS BAND MUSICIAN...

Aliolewa kwanza na Roy Kachale wana watoto 3... Halafu Richard Banda (hakuna Uhusiano na Kamuzu) Alikuwa Jaji Mkuu alistaafu

Muda Mrefu wana watoto 2
 
Asante kwa maelezo lakini neno grand-daughter ililenga kueleza seniority ya Joyce na Banda na si udugu ni sawa na tuseme Kikwete ni mjukuu wa Nyerere katika sense ya uongozi.
 
Banda ni Kibaraka mbaya kwa mataifa ya magharibi. Yupo tayari kufanya lolote ili kuwafurahisha wazungu!!
 
Asante kwa maelezo lakini neno grand-daughter ililenga kueleza seniority ya Joyce na Banda na si udugu ni sawa na tuseme Kikwete ni mjukuu wa Nyerere katika sense ya uongozi.

He got you wrong,...hope amekuelewa sasa mkuu
 
Back
Top Bottom