• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Marekani yadai kumuua mtoto wa Osama Bin Laden, Hamza Bin Laden

Jackal

Jackal

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2012
Messages
5,622
Points
2,000
Jackal

Jackal

JF-Expert Member
Joined Apr 10, 2012
5,622 2,000
The US believes late al Qaeda leader Osama bin Laden's son Hamza bin Laden is dead, a US official told CNN on Wednesday.

The official said the US had a role in his death but did not provide details. The official added that the US government recently received evidence that it believes corroborates his death.

The New York Times reported that Hamza bin Laden had been killed in an operation within the last two years.

Earlier this year the US State Department called bin Laden, who is believed to be in his early 30s, an "emerging" leader in the terror group al Qaeda, offering a million-dollar reward for information leading to his capture.

The New York Times, citing two US officials, said "the United States government had a role in the operation that killed the younger Mr. bin Laden, but it was not clear precisely what that role was."

CNN terrorism analyst Paul Cruickshank said one thing is puzzling researchers who are closely tracking al Qaeda: "If Hamza bin Laden has indeed been dead for months, you would expect al Qaeda to have released some form of eulogy before today. The fact they haven't is highly unusual, given his status in the group."

When the US government offered the reward it accused the Saudi Arabia-born Hamza bin Laden of seeking to encourage attacks against the US.

While The New York Times said the operation that killed him took place prior to the State Department's reward offer, his death had yet to be confirmed by the US government.

Hamza bin Laden "has released audio and video messages on the Internet, calling on his followers to launch attacks against the United States and its Western allies, and he has threatened attacks against the United States in revenge for the May 2011 killing of his father by US military forces," the State Department said in its announcement offering the reward.
NBC News was first to report that the US government had assessed Hamza bin Laden to be dead.

President Donald Trump declined to comment Wednesday when asked about the reports. The Department of Defense also declined to comment.

The State Department said items seized from the elder bin Laden's hiding place in Pakistan during the Navy SEAL raid that resulted in his death indicated he was grooming Hamza bin Laden to replace him as al Qaeda's leader.

He married the daughter of a senior al Qaeda leader who was charged by a federal grand jury for his role in the August 7, 1998, bombings of the US embassies in Dar es Salaam, Tanzania, and Nairobi, Kenya.

Saudi Arabia revoked Hamza bin Laden's citizenship, official newspaper Um al-Qura reported earlier this year, citing a royal order issued to the Interior Ministry.
 
dudus

dudus

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2011
Messages
11,341
Points
2,000
dudus

dudus

JF-Expert Member
Joined Feb 28, 2011
11,341 2,000
... hilo ni la kuuliwa tu maana halina faida yoyote duniani humu. Jitu muda wote linawaza kumwaga damu za wanadamu wasio na hatia lina faida gani.
 
P

pye Chang shen

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2016
Messages
5,193
Points
2,000
P

pye Chang shen

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2016
5,193 2,000
Hawatawadhuru isipokua maudhi tu
 
Equation x

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Messages
10,620
Points
2,000
Equation x

Equation x

JF-Expert Member
Joined Sep 3, 2017
10,620 2,000
Kulikuwa hakuna namna
 
Dalmine

Dalmine

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2016
Messages
3,942
Points
2,000
Dalmine

Dalmine

JF-Expert Member
Joined Sep 8, 2016
3,942 2,000
Innalilahi waina ilaihi rajiun poleni Sana familia ya ndugu Hamza.. Allah amfanyie wepesi katika kaburi lake ampe kitabu chake kwa mkono wake wa kulia ya rabbi.. Allah amsamehe makosa yake amjalie makazi mema peponi ya rabbi...

Mnaoshabikia kifo cha asiekuwa na hatia, kumbukeni kuwa kila nafsi itaonja umauti. Na waliofanya hivyo Mwenyezi Mungu atawalipa.
 
Jackal

Jackal

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2012
Messages
5,622
Points
2,000
Jackal

Jackal

JF-Expert Member
Joined Apr 10, 2012
5,622 2,000
Innalilahi waina ilaihi rajiun poleni Sana familia ya ndugu Hamza.. Allah amfanyie wepesi katika kaburi lake ampe kitabu chake kwa mkono wake wa kulia ya rabbi.. Allah amsamehe makosa yake amjalie makazi mema peponi ya rabbi...

Mnaoshabikia kifo cha asiekuwa na hatia, kumbukeni kuwa kila nafsi itaonja umauti. Na waliofanya hivyo Mwenyezi Mungu atawalipa.
Wanasema shahidi hupewa 7 virgins huko akhera
 
P

pye Chang shen

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2016
Messages
5,193
Points
2,000
P

pye Chang shen

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2016
5,193 2,000
Innalilahi waina ilaihi rajiun poleni Sana familia ya ndugu Hamza.. Allah amfanyie wepesi katika kaburi lake ampe kitabu chake kwa mkono wake wa kulia ya rabbi.. Allah amsamehe makosa yake amjalie makazi mema peponi ya rabbi...

Mnaoshabikia kifo cha asiekuwa na hatia, kumbukeni kuwa kila nafsi itaonja umauti. Na waliofanya hivyo Mwenyezi Mungu atawalipa.
Ameen ya rabby Ameen
 
mazojms

mazojms

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2017
Messages
1,138
Points
2,000
mazojms

mazojms

JF-Expert Member
Joined Sep 22, 2017
1,138 2,000
Kosa lake ni nini hasaa mpaka imepelekea wamuuwe? Maana mnashabikia tu kwakuwa ni Muislamu.
Kwani ugaidi na uislam una uhusiano?? Maana sioni walipoandika habari za uislam. Acha kujichanganya kijana.
 
Dayone

Dayone

Member
Joined
Aug 24, 2017
Messages
46
Points
125
Dayone

Dayone

Member
Joined Aug 24, 2017
46 125
Kosa lake ni nini hasaa mpaka imepelekea wamuuwe? Maana mnashabikia tu kwakuwa ni Muislamu.
Sio kisa ni muislam bali aliwahi kuropoka mwenyewe kwmb atalipiza kisasi cha kuuliwa kwa baba ake (osama) thats why marekani kamsaka kwa udi na uvumba mpk wamemtia mkononi kabla ya kuleta madhara.
 
T

TruthLover

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2019
Messages
945
Points
1,000
T

TruthLover

JF-Expert Member
Joined Jan 30, 2019
945 1,000
Mwenzako anadai kupigania taifa lake dhidi ya mabeberu
... hilo ni la kuuliwa tu maana halina faida yoyote duniani humu. Jitu muda wote linawaza kumwaga damu za wanadamu wasio na hatia lina faida gani.
 
Jon Stephano

Jon Stephano

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2018
Messages
4,301
Points
2,000
Jon Stephano

Jon Stephano

JF-Expert Member
Joined Jul 5, 2018
4,301 2,000
Innalilahi waina ilaihi rajiun poleni Sana familia ya ndugu Hamza.. Allah amfanyie wepesi katika kaburi lake ampe kitabu chake kwa mkono wake wa kulia ya rabbi.. Allah amsamehe makosa yake amjalie makazi mema peponi ya rabbi...

Mnaoshabikia kifo cha asiekuwa na hatia, kumbukeni kuwa kila nafsi itaonja umauti. Na waliofanya hivyo Mwenyezi Mungu atawalipa.
Haki ya nani ningeshangaa sana usingechangia kwenye huu uzi
 
King Kong III

King Kong III

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Messages
34,490
Points
2,000
King Kong III

King Kong III

JF-Expert Member
Joined Oct 15, 2010
34,490 2,000
USa Bwana hahahaaa.
 
Forum statistics

Threads 1,405,363
Members 531,983
Posts 34,484,457
Top