Wazee wa kukesha tukutane hapa

Mimi nalinda ofic ya Chadema hapa Tangi bovu. Leo kuna mbu balaa, halafu leo siku mbaya sana nimepata wateja wawili tu utafikiri sio mwisho wa mwezi
 
Ivi na mimi nakesha?maana nipo hapa naongeza pato la taifa kwenye bar maarufu mjini Iringa inaitwa VIP
 
kumbe team popo tupo wengi
 
Ivi na mimi nakesha?maana nipo hapa naongeza pato la taifa kwenye bar maarufu mjini Iringa inaitwa VIP

Wewe kweli popo. kwa baridi ya Iringa mida hii unakunywa pombe ????
Una tatizo na shemeji ? Najua thamani ya wanawake Iringa inapanda kadiri baridi inavyoongezeka wewe bado uko klabu ?
 
Mimi nalinda ofic ya Chadema hapa Tangi bovu. Leo kuna mbu balaa, halafu leo siku mbaya sana nimepata wateja wawili tu utafikiri sio mwisho wa mwezi

iko sehemu ipi hapo bovu hiyo ofis?
 
iko sehemu ipi hapo bovu hiyo ofis?

Ukipata changu wa maeneo haya atakuleta. ni maarufu sana kwa machangu kwani huwa tunakodisha hapa kwa shot time buku. tunatoka nje ya lindo kwa dakika tano hivi jamaa wanastarehe.
Unategemea hii simu ya Startimes ningeinunua na mshahara wanaonipa M4C ? kwani hawaijui hela hawa ?
 
dada utamu wanapatikana maeneo gani mkuu tupe na bei elekezi bei kianzio na bei kikomo kama ewura
 
Kumbe maeneo hayo juna machangu? Wanapatika wapi mkuu, hebu funguka vuzuri hapo.
 
dada utamu wanapatikana maeneo gani mkuu tupe na bei elekezi bei kianzio na bei kikomo kama ewura

Nimeongeza vocabulary. dada utamu, bei ukomo na bei kianzio.
 
Kumbe maeneo hayo juna machangu? Wanapatika wapi mkuu, hebu funguka vuzuri hapo.
';

Huku wengi ni wake za wanaume matajiri ambao hawatoshelewi na waume zao walio bize kusaka noti na kutooneka nyumbani. Mpaka uzoeleke sana huku ndio hawa mimama wanakuchunuku. hawahitaji hela sana sana wewe ndio utaambulie hela ya supu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…