vevenononombo
JF-Expert Member
- Jun 19, 2015
- 1,289
- 421
- Thread starter
- #21
ayaaaa:angry:
Niaje mkuuu
ayaaaa:angry:
Haaaaaaaaa basi we pitia kushoto
Napita tu...
Ivi na mimi nakesha?maana nipo hapa naongeza pato la taifa kwenye bar maarufu mjini Iringa inaitwa VIP
Mimi nalinda ofic ya Chadema hapa Tangi bovu. Leo kuna mbu balaa, halafu leo siku mbaya sana nimepata wateja wawili tu utafikiri sio mwisho wa mwezi
iko sehemu ipi hapo bovu hiyo ofis?
Ukipata changu wa maeneo haya atakuleta. ni maarufu sana kwa machangu kwani huwa tunakodisha hapa kwa shot time buku. tunatoka nje ya lindo kwa dakika tano hivi jamaa wanastarehe.
Unategemea hii simu ya Startimes ningeinunua na mshahara wanaonipa M4C ? kwani hawaijui hela hawa ?

dada utamu wanapatikana maeneo gani mkuu tupe na bei elekezi bei kianzio na bei kikomo kama ewura
';Kumbe maeneo hayo juna machangu? Wanapatika wapi mkuu, hebu funguka vuzuri hapo.
Nyie Watu Bado Mnakesha?