Wazee wa kujilipua kimaisha (risk takers) kwa style tofauti tukutane hapa!

Daaaahh nmehamia Rocky city kikazi Nina Mwezi 1 tu ni shauku yakuwekeza pia kwenye biashara but ugenii nakosa confidence yakufanya chochote . Ningepata mwenyeji mwenye determination Na strategy za kimaendeleo Ungekuwa poa bahati mbaya nilionaokaribu bado Hawana muamuko WA kujituma soo napambana Na Hali yangu mpaka nilizoee jiji kwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
baadae nikipata muda nitakuja kufundisha namna ya kujilipua na kustahamili adha utakazo kutana nazo... ingawa its risk too..
 
Hoja ya kumwomba Mungu ni muhimu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Ningekuwa dar ningekucheki fasta but thanks hata Kwa kutuma courage
Daaaahh nmehamia Rocky city kikazi Nina Mwezi 1 tu ni shauku yakuwekeza pia kwenye biashara but ugenii nakosa confidence yakufanya chochote . Ningepata mwenyeji mwenye determination Na strategy za kimaendeleo Ungekuwa poa bahati mbaya nilionaokaribu bado Hawana muamuko WA kujituma soo napambana Na Hali yangu mpaka nilizoee jiji kwanza

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni moja kati ya waliojilipua...dhana iko hivi...kulia au kutoa machozi siku moja lazima iwepo lakini jiweke sana kwa Mungu...usijilipue kwa kutegemea capital au mtaji wako
Ndio maana wengi waajiriwa humu wako desperate... Kwanza mnafikiria mambo makubwa mathalani biashara ya mtaji Wa mil 20 ...kama hauna experience na biashara yoyote Pesa sio kitu kabisa...kwa sababu utapitia kipindi cha learning curve ...Pesa itakuwa inaenda tuu na inaweza enda yote...hapo usipokuwa makini kuna kuchanganyikiwa au kuingia kwenye ulevi Wa ajabu na tabia mbaya ambazo hukuwa nazo kama ushirikina na kugombana na ndugu...jamaa...na marafiki pengine hata watu Baku
Ukitaka kujilipua kwanza jua changamoto yako kubwa ni kubadili tabia na life style yako ya zamani...hapa kama ulizoea kunywa maji ya Kilimanjaro au bia kila siku kwa Mangi huku bajeti ya lunch yako ikiwa si chini ya buku 5 you need to adjust mapema
Pesa yoyote inayokuwa mkononi mwako lazima iwe budgeted na asilimia kubwa iwe tayari pre channelled kwenye bness au investment yako...consumption hapa ambayo haihusishi bness yield is highly restricted
Kuna kuanguka vibaya kibiashara lakini usiache kufanya hicho kitu kwa kuanguka Mara moja
Vizuri ukahire mtu Wa kuwa anakudirect nini cha kufanya
Jifunze kuficha haiba yako ya mwanzo yoyote ambayo inaweza kuwa inawafanya bness stakeholders wako kuhisi wako undermined... Kwa mfano mkiwa mashambani kutafuta mazao acha kuhadithiahadithia kama huitajiki kufanya hivyo mambo ya ofisi uliyokuwa unafanyia kazi
Kikubwa mtegemee sana Mungu wako kipindi hiki lakini pia refrain away from bad friends na baki na tafuta wapya wazuri wanaoweza kuwa supportive kwenye dream yako

Kifupi nimemaliza kipindi cha kulia I mean from negative side Niko kwenye zero point at least now namshukuru Mungu utumwa Wa kuoga kwa lazima asubuhi nimeumaliza na mindset yangu huko huwa haipo tena kabisa...the future is promising... Lakini kikubwa Sala ...maombi kwa Muumba yameplay part kubwa...kwa sababu hata kabla ya kufanya uamuzi huo nilimuomba Mungu kwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumcha na kumwomba MUNGU ni chanzo kikubwa cha kupata Maarifa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Risk taker wa kuzaliwa, hajutii kufeli...wala hanung'uniki, atajipanga tena na atasimama...
Fake Risk taker pale Wanapofeli hujuta......na kushusha lawama kwa waliomchochea...!

Kaka H, Usipoteze Lengo kule JSM
 
KUCHOMA MELI MOTO,

The ancient Greek warriors ni moja kati ya Majeshi yaliyo yanapambana kwa nguvu zote katika historia ya Majeshi ya Enzi Hizo, Na hii si kutokana na walivyo fundishwa au Silaha walizo kuwa nazo, no ni kutokana na Commitment yao ya Kushinda Vita waliyo kuwa nayo.

Wagiriki walivyo kuwa wakifika Pwani ya Maadui wao Cha kwanza ambacho Kamanda wao alikuwa akiwaamulisha wanajeshi wafanye ni Kuchoma Meli zote zilizo wafikisha pale, Na wanajeshi kwa Pamoja walikuwa wakichoma Meli zote Moto, MESSAGE HAPA ILIKUWA NI CLEAR KABISA,

1. There was no Turning Back
2. There was no retreat
3. No surrender
The only way out was Forward, Na ni Victory or Death, na hakuna outcome nyingine zaidi ya hizo Mbili za Kushinda Vita au Kuuwawa. Na hii stail iliwahi kutumiwa na Wamexco katika vita miaka ya 1500 Wanajeshi wa Kigiriki walivyo kuwa wakiona Meli zao zikiwaka Moto walikuwa wanaogopa sana na wanajua kabisa hakuna Kurudi Nyuma, hakuna kujisalimisha, ila kazi ni Moja tu kushinda Vita, Katika Maisha tunahitaji kufanya kila liwezekanalo kufanya maamuzi ambayo ni sahihi kabisa, hatuwezi kuwa shihi muda wote lakini ukifanya analysisi utagundua hakuna kisicho wezekana. Ila tumekuwa tukikutana na vikwanzo vingi sana vinavyo tufanya Safari yetu isifike popote pale
1. Vikwazo kutoka kwa Familia yako
2. Marafiki
3. Ndugu jamaa na Marafiki
4. Wafanya kazi wenzako
5. Uoga wa hali ya Juu.

Itaendelea..!

Asante na karibu tena Mkuu.
 
Wadau wanaotaka kujilipua mlioko kwenye hii thread huu ndio muda muafaka wa kuanza application ya Green card lottery na deadline ni October.
Angalizo: muhimu kuicheza/ apply kwenye genuine website ya US govt. Kuna nyingine za kitapeli zitawalia pesa kuweni makini ukiona t inayotaka fees achana nayo. Tz tuna nafasi kubwa sana ya kupata maana wakenya wamecheza sana hio.kila la kheri wadau; kazi ni kwako.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nielekeze naiombaje nitajie specific website ya kuomba
 
Ni moja kati ya waliojilipua...dhana iko hivi...kulia au kutoa machozi siku moja lazima iwepo lakini jiweke sana kwa Mungu...usijilipue kwa kutegemea capital au mtaji wako
Ndio maana wengi waajiriwa humu wako desperate... Kwanza mnafikiria mambo makubwa mathalani biashara ya mtaji Wa mil 20 ...kama hauna experience na biashara yoyote Pesa sio kitu kabisa...kwa sababu utapitia kipindi cha learning curve ...Pesa itakuwa inaenda tuu na inaweza enda yote...hapo usipokuwa makini kuna kuchanganyikiwa au kuingia kwenye ulevi Wa ajabu na tabia mbaya ambazo hukuwa nazo kama ushirikina na kugombana na ndugu...jamaa...na marafiki pengine hata watu Baku
Ukitaka kujilipua kwanza jua changamoto yako kubwa ni kubadili tabia na life style yako ya zamani...hapa kama ulizoea kunywa maji ya Kilimanjaro au bia kila siku kwa Mangi huku bajeti ya lunch yako ikiwa si chini ya buku 5 you need to adjust mapema
Pesa yoyote inayokuwa mkononi mwako lazima iwe budgeted na asilimia kubwa iwe tayari pre channelled kwenye bness au investment yako...consumption hapa ambayo haihusishi bness yield is highly restricted
Kuna kuanguka vibaya kibiashara lakini usiache kufanya hicho kitu kwa kuanguka Mara moja
Vizuri ukahire mtu Wa kuwa anakudirect nini cha kufanya
Jifunze kuficha haiba yako ya mwanzo yoyote ambayo inaweza kuwa inawafanya bness stakeholders wako kuhisi wako undermined... Kwa mfano mkiwa mashambani kutafuta mazao acha kuhadithiahadithia kama huitajiki kufanya hivyo mambo ya ofisi uliyokuwa unafanyia kazi
Kikubwa mtegemee sana Mungu wako kipindi hiki lakini pia refrain away from bad friends na baki na tafuta wapya wazuri wanaoweza kuwa supportive kwenye dream yako

Kifupi nimemaliza kipindi cha kulia I mean from negative side Niko kwenye zero point at least now namshukuru Mungu utumwa Wa kuoga kwa lazima asubuhi nimeumaliza na mindset yangu huko huwa haipo tena kabisa...the future is promising... Lakini kikubwa Sala ...maombi kwa Muumba yameplay part kubwa...kwa sababu hata kabla ya kufanya uamuzi huo nilimuomba Mungu kwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
Amen
 
mkuu je sie tunaojilipua na KUBETI,!!

kuna pipo zinatuona kama tuna waste time.

n0 r0se with0ut th0rn
 
Back
Top Bottom