G.Jacob
JF-Expert Member
- Aug 12, 2013
- 3,618
- 3,475
Alichokiongea ni kweli.Dah nilikuwa najuaga kimei ana akili kumbe hamnazo kiasi hicho, Yani anajizalilisha mwenyewe kama mchaga hafu watu walikuwa Wana mtaja eti Waziri wa fedha naye akajiona ana akili kumbe hamnazo