Wazee wa CCM wa Kawe wanataka 2015 nikamng'oe Mdee ila mi ni CHDEMA

Wewe ni nani? Qualification zako? Tunategemea wewe Si Mtoto wa Ndani ya CCM (CULTED - CCM eg NAPE)

Tupe hayo Machache... Ya Magamba au UFISADI tuachie Sisi... Salaams
 
Wanadai wameona mi naweza kumtoa

CHADEMA 2015 patashika nguo kuchanika, wabunge wa sasa wasidhani kuwa wana hati miliki, kuna wana cdm majembe zaidi yao watataka kugombea na wako tayari kushindanishwa ndani ya chama.Lazima tukubali kuwa CDM ni chama dume kwa hiyo upinzani lazima uwepo lakini uwe wa kujenga na uliotawaliwa na demokrasia shirikishi.CCM 2015 ni chama cha upinzani kwa hiyo CDM lazima tuchuane sana.
 
Nahisi wewe ni kale kajamaa ka CCM rafiki yake Mwigulu na Le Mutuz!!

Usipime upepo, kwanza Kawe hakuna wazee, wazee wameishia Chalinze!
 
Akili yako haikuruhusu kugombea. jaribu tena miaka ijayo itakapo komaa!
 
Wanadai wameona mi naweza kumtoa

We ni nani??mi niko kawe,ni cdm pia ila nna mahusiano mazuri na hawa wazee wa ccm...kifupi ni kuwa..hawa wazee wana njaa,na pia hakuna mgombea wa ccm karibu kuwashibisha..ukiingia ccm kwa ushawishi wao 2015 mimi naingia chadema...we'll put you down..tulia ulipo kijana wangu
 
Hao wazee walikaa kikao au walikwandika barua ya kukwambia unaweza?
Usije ukawa umeambiwa na mzee mmoja tu mwenye interest zake za kukukopa halafu unakuja kusumbua watu huku kwamba na wewe unaweza.
 
We ni nani??mi niko kawe,ni cdm pia ila nna mahusiano mazuri na hawa wazee wa ccm...kifupi ni kuwa..hawa wazee wana njaa,na pia hakuna mgombea wa ccm karibu kuwashibisha..ukiingia ccm kwa ushawishi wao 2015 mimi naingia chadema...we'll put you down..tulia ulipo kijana wangu

napenda sana kushindanishwa, na ni muumin wa siasa shindanishi
 
Nahisi wewe ni kale kajamaa ka CCM rafiki yake Mwigulu na Le Mutuz!!

Usipime upepo, kwanza Kawe hakuna wazee, wazee wameishia Chalinze!
Duuh, umemjibu vizuri sana hadi nimefurahi. Wewe unafaa kwa Maswali ya Papo kwa Hapo maana hauko kama Majengo yaliyopinda anavyozuga mjengoni kila Alhamisi kwa porojo na machozi!
 
Hata Ukongo huyo William hafai, Manji mwenyewe anapima kwani anaona kabisa kwa CCM hiyo anayotaka kugombea kupitia hapati, nasikia anaingia CDM.
 
neno MZEE siku hizi linamaanisha mutu mwenye pesa zake anayemiliki watu kama NDIO tafsiri yako ya neno WAZEE umeliwa kumbuka kuna majimbo ambayo yana wasomi wengi sana na wengi si wazaliwa wa dar es salaam moja wapo ni kawe..nakushauri rudi temeke kule wazawa kibao na shule hawajaenda wwaweza pata
 
Back
Top Bottom